Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa jibu lako....
sawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar..hii ni kwa sababu mmeweka kila kitu pale Dar including airport, seaport,industries etc....heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!
 
sawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar...heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!
mbona povu....si ulishanipa jibu kuhusu kama nairobi iko na beaches.....porojo ya nini sasa.

hamna beach Nairobi.
 
nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana...
emoji23.png
emoji23.png
njoo Nairobi utafikiri umefika Canada...kabaridi kazuri sana ka kufanya kazi...ndio maana tumewazidi kiuchumi...weather pia inachangia sana kwa productivity by the way...
 
Suti unavaa,ukiwa home unajiandaa kwenda ofisini probably itafaa suti 7bu ukiingia kwenye gari kuna air condition, ukiwa ofisini pia a.c. kama kawaida. ..

Kama a.c. Hamna kuna feni aka panga boy hehehe. ..

Swali lako la kizushi kwelkwel ni sawa na kuuliza mtu anayeishi Dubai au mombasa eti suti ya nn....

Ila inakua uduanzi kuivaa suti jua kali mchana for fashion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oooh hivyo ofisi za dar zote zina a/c?...ama unajiongelea wewe...mimi kwa fikra zangu, joto jingi kama ya Mombasa ile inapunguza productivity...ndio unawaona wapwani wale ni wavivu vile...wanaamini Mombasa raha tu...si wote lakini...ila kama lagos luanda na accra wanafanya kazi poa kwa joto basi ni sawa tu pia...
 
oooh hivyo ofisi za dar zote zina a/c?...ama unajiongelea wewe...mimi kwa fikra zangu, joto jingi kama ya Mombasa ile inapunguza productivity...ndio unawaona wapwani wale ni wavivu vile...wanaamini Mombasa raha tu...si wote lakini...ila kama lagos luanda na accra wanafanya kazi poa basi ni sawa tu pia...
Na pita mjini uhesabu hao waliovaa suit unambie kama ni wengi sasa...huwez vaa suti tu ilimradi....

Kwa dsm hii a.c. sio swala la kuuliza braza unless otherwise iyo ofisi iwe na feni mana kuna joto kweli sio utani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana.
njoo Nairobi utafikiri umefika Canada...kabaridi kazuri sana ka kufanya kazi...ndio maana tumewazidi kiuchumi...weather pia inachangia sana kwa productivity by the way...
duh!!....povu lote hili ni kwasababu ya kukuuliza kama nairobi kuna beaches?....au kuna jambo lingine?....smh.

hamna beach Nairobi.
 
duh!!....povu lote hili ni kwasababu ya kukuuliza kama nairobi kuna beaches?....au kuna jambo lingine?....smh.
huko mbona tulitoka kitambo mkuu...kisha hamna la povu wala la nini...argument nimetoa kali sana nikama sindano imechoma vzr...
emoji23.png
emoji23.png
pili, nimekuzoea ukishindwa argument huwa unaanza kubwabwaja maneno kama kigugumizi ukilia lia eti povu..
emoji23.png
..umeshatambulika kadoda.
emoji23.png
emoji23.png
try something new...
 
sawa ila punguza hasira....
 
7/11 is one of residential apartments in Kawe city. its not kawe city ...Kawe City Is A city my friend with many buildings office,hotels ,malls and other residential apartments ..7/11 is G+19 x7 kama cio x8..moto uko pale pale
Kaamka vibaya huyo leo...kajiona mjanja kumbe chaka😀😀😀😀😀
 
ww una kasoro bwana..CBD tena imekuwa jengo?...
emoji23.png
emoji23.png
.upperhill ni kubwa ila picha hii ni ya simu...ulitaka jamaa apae angani ndipo apige picha CBD nzima? labda nikuulize ndugu, umesoma mpaka ukamaliza ama ww dropout?😀 sababu naona kueleza vitu vya kawaida sana ni shida huelewi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ina maana hujui CBD nini? tuanze hapo kwanza...maybe nitakulewa...umeenda chuo kikuu ama umefika kidato kipi? CBD sio jengo mkuu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
So kama sehemu hakuma majengo maana yake kuna vichaka na miti utasemaje CBD sio majengo we ulitaka CBD iwe nini??? Hebu tuanze hapo maana nisije nikawa napoteza nguvu nyingi kumbe napoteza energy bure😀😀
 
sawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar..hii ni kwa sababu mmeweka kila kitu pale Dar including airport, seaport,industries etc....heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!
enhee patanu sana hapo nilitaka kujua hvo vitu nairobi vipo dar hakuna plz anza kimoja baada ya kingine
Alafu dar sio capital city of tanzania kwanza uelewe hicho😀😀😀
 
Nyuzi 40 za sentigredi hapo umebugi. Dar range yake ya halijoto ni 28 hadi 32

Back
Top Bottom