ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hebu soma vzr naona leo umeamka vibaya kawe city ni nyingine na kawe 7/11 ni nyingine baba hzo ni project mbili tofaut na zote ziko under construction😀😀😀😀😀i do keep tabs....
hii Kawe City tuliaminishiwa ni 50flrs x 5.... tena imegeuka kuwa 15flrs.... Shukran!
Asante kwa kuleta hoja na kujiona mjanja
7/11 kawe ndio hii haha punguza hasira
Alafu giant kawe city sasa ndio hii
Karibu tena😀😀😀😀😛😛😛😛
50fl *5 iko pale pale na speed imeshika kasi
