Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huelewi hata maana ya hicho unachoita fiscal policy,kwa hiyo fiscal inaondoa au kupunguza money M3 kwenye uchumi? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ww kichwa maji usijibizane na mm na hata huelewi mana ya M3( ndio walewale wakusema kuongezeka pesa kwenye mzunguko)...kacheze
 
Tunazidi kufungua Nchi ..

Wanajumuiya wa EAC mkiwemo Wakenya na SADC ruksa kununua dhamana za Serikali ya Tanzania 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220609-164815.png
    128.2 KB · Views: 50
Sasa hapo huoni ukabila? Unajua upande wa Biharamulo waliotengwa ni makabila gani? Jamaa alikuwa mkabila aliyekubuhu! Mipango ya Mungu ni siri kubwa maana nina uhakika hii term angeongeza kupendelea alipotoka! Ngoja nikuletee evidence..
 
Sasa ndiyo ujenge majengo yote yenye kufanana kama kumbikumbi hicho kitu nilikipinga toka mwanzo wa ujenzi kujenga ikulu inayofanana na ikulu ya mkoloni ni upumbavu kabisa sasa watoto wetu tutawa fundisha nini kwenye ubunifu kama tunaendekeza utumwa katika kila kitu .....au mnataka tukitaka kufundisha watoto wetu kuhusu tz na ikulu tunaanza na kumbukumbu za sultani na kina Karpeter ili kuielezea ikulu yetu mpya tuliyo jenga wenyewe kwa zaidi ya miaka 60 toka mkoloni kuondoka[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Bila kumsahau Diallo
 
Huo mlango kwenye sgr Station hautakiwi uwe mkubwa kumbuka hilo jengo ni green halafu ni full kiyoyozi milango mikubwa ya automatic itakaaje hapo. Milango mikubwa inakaa sokoni na kwenye Station ambazo hazina viyoyozi.
 
Stupid design ....very stupid design ...huu ni upigaji wa pesa tu hivi tz hakuna madesign wapya na bora kuliko hivi vituko sasa hiyo ni ngome ya jeshi au gereza la wafungwa[emoji849][emoji849][emoji849]
Hilo jengo la TRC Dodoma limezingatia biashara ya shirika hence limechukua muundo wa wagons za train ni ubunifu tuu.
 
Huo mlango kwenye sgr Station hautakiwi uwe mkubwa kumbuka hilo jengo ni green halafu ni full kiyoyozi milango mikubwa ya automatic itakaaje hapo. Milango mikubwa inakaa sokoni na kwenye Station ambazo hazina viyoyozi.
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…