Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

'obama is my first couzin'. raila
Rais Mtanashati.!πŸ˜‚ πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½as much as Tz is good in music and drama, but sisi mambo na Comedy, watuwachie tafadhal.. yani sisi ndo wale wasee........
 
Wako na kazi sana. Kujenga viaduct kama hili na yard kama hii inachukua nafasi kubwa sana. View attachment 2255174
kama unaijua Dar port then utakuwa mjinga kuweka viaduct kutoka Ilala Shaurimoyo, SGR diversion inashuka toka viaduct halafu inatambaa underpass across Nyerere road inakatiza keko mpaka BP inakatiza underpass barabara ya Bandari inaingia Bandarini!



 
kama unajua Dar port then utakuwa mjinga kuweka viaduct kutoka Ilala SGR diversion inatambaa underpass across Nyerere road inakatiza keko mpaka BP inakatiza underpass barabara ya Bandari inaingia Bandarini!
Wacha domo leta ujenzi.
Unaona Kenya tunaleta evidence wewe unaleta vijimaneno maneno
 
Wewe ni mshamba cant waste my time kubishana na wewe nimekupa the physics behind it bado unakua mbishi
 
Pumzikeni kwa siasa, maana hamna lolote to put on the table to topple Kenya, eti kupambana! kwa lipi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, ., nyie mmejawa na wishful thinking, domodomo na wivu tu., jibu kutoka Tanzania hakuna, mli maliza yote ya ku post humu kitambo sana., ama mna jipya so far?., ni ndoto tu, na mnachotarajia kifanyike., kwa ground nothing to level up..,
 
Itawachukua miaka mingapi ndio ikamilike?πŸ˜•
 
Kenyans and Tanzanians hate each other since Nyerere and Jommo Kenyatta, don't try to blame Magufuli alone, we don't get along in anything

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
And it hasn't helped your sorry asses in anything. Tunabembea mbele yenu miaka nenda miaka rudi. Chuki bila tija wala faida kwenu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Miaka mingi sana.., kabla airline business hapa Africa ianze kuyumba.., only Ethiopia is somewhat making profits.., fanya utafiti..,
That was a very stupid question from him. KQ was one of the few profit-making airlines in Africa until a few years back
 
That was a very stupid question from him. KQ was one of the few profit-making airlines in Africa until a few years back
Huwa wanajitia hamnazo tu, hakuna mtanzania hajui ukweli about Kenya being above them., ni ujeuri tu, yaani mifukara jeuri, find them arguing honestly about Kenya in their forums, such nonsense many are projecting here won't stand, unaumbuliwa na kunyamazishwa na facts, they know the differenceπŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hehehe. Nadhani wanaita all types of matatu vipanya isipokuwa buses. So mathree ndogo kabisa for example mololine shuttle na hata hizo minibuses zao wanaziita vipanya.
Toyota Hiace,Nissan Urvan/Caravan ndio Tz huita vipanya.
 
Yeye na chuki zake zote za ******* na ufala ako kwa shimo anaoza. I hate old men wenye hukua na ufala sana kwanza kama yuko madarakani. Magu alikua falamanga sana.
SSH realized the bad blood Magu had planted between Kenyans and Tanzanians and in an effort to mend fences, she chose Kenya as the first foreign nation to visit as a president. Her quick rejoinder is somehow bearing fruits if bilateral trades between these two countries is anything to go by since since took over power
 
Hali ilikuwa mbaya hela hamna kwenye uchumi mikopo ikasitishwa serikali ikaanza kupora hela za wananchi kwa mtutu na hiyo nayo utabisha? Sabaya mwenyewe anasema alfuata maelekezo toka juu hapa unatetea nini?

Hii inaonesha kuwa wewe ni mfanyakazi wa serikali maana wote waliathirika kasoro wafanyakazi wa serikali tuu.

Biashara ziliporwa hela zikafungwa na wamiliki wakawekwa ndani ukikataa kuporwa unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi au unajikuta kwenye kiroba na hii nayo utabisha?

Japo sipendi kuzungumzia siasa lakini hiyo ndio ilikuwa hali halisi Tanzania in the last 6 years.
 
Hivi ukiwa na fimbo ndefu moja ya mita 1 na nyingine ya mita 10 halafu zote ufunge vibrators on one end halafu ushike the other end ipi itakuwa na vibration kubwa on your hand?

Au angular velocity near the center of the cycle au on the edge of the circle ipi ni kubwa?
Dynamics hizi zote zinatumika kwenye magari. The higher the angular velocity the higher the vibration.

Vibration in cars inaletwa na engines pamoja na differential na matairi friction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…