Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ma dictator hua na viherehere sana,asubiri anaharaka ya nn
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu uko na hasira sanaa leo[emoji23][emoji23], naikubali wisdom yako ila wakiku chocha weee kinaumana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu huo ndio ukweli, ndio mana nikasema mwenda zake alikuw anajua anacho fanya , ila naona mabovu yake ndio yamewafunika badhi ya watu humu, kiukweli kuna vitu vingi snaaa mpaka sasa vingekuwa history bila uwepo wake.
Tunajua mama hawezi kufikia level ile ya kujitoa lakini ndio ashindwe hata kupunguza matumizi? I bet sasaivi garama za safari tu za viongozi ni pesa ndefu mnooo, plus vishere hewa bado na kuongeza mishahara juuu, lazima hali iwe mbaya
 
Magufuli aliipendelea Chato tuseme tu ukweli. Alijenga airport kubwa, hospitali kubwa, national park ambayo amehamisha wanyama kutoka maeneo mengine na kuwaleta Chato. Sasa bado watu wanapinga kwamba Magufuli aliipendelea Chato? Mbona lipo wazi kwamba aliipendelea Chato? Mimi siishi huko lakini hata mimi naona ndani ya miaka mitano ya uongozi wake alipeleka miradi mingi huko Chato. Lakini yote tisa, kumi ni kwamba Magufuli amejenga miundo mbinu Tanzania nzima na ameibadilisha sura ya Tanzania. Kwenye kujenga miundo mbinu hana mshindani. Bado nakubali alifanya makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu huko TZ.
 
Tony usisikilize watu wanao penda habari za kuwatekenya halafu wacheke wenyewe. Passengers terminal na port ni vitu viwili tofauti. Line ya port ipo na inachepukia kabla ya kufika kwenye hiyo Passengers terminal mizigo haipiti city centre.
Ooh sawa nimeelewa.
 
Magu aliipendelea daresalam dodoma na mwanza ndo sehemu magu alizipendelea sana speaking of chato palkua kijijini tuu kabla ya magu lkn pia ni tanzania vilevile ultaka wawe maskini hadi lini ndo ungeridhika wao kupelekewa hospital au airport? Au veta au ferry au economy stimulation aiwahusu?
Geza ni mbaguzi wa kikabila na kikanda atakupoteza ukimfata
 
Tonny kiongozi bora ni yule ambae hata nyumbani kwake yanaokana matokeo ya ubora wake katikatika uongozi, proverbs nyingi tu zimelieleza hili suala kama "Charity Biggins at home" "A man's public life reflects his private life" na misemo mingine mingi tu, hiv ungetegemea JPM alete maendeleo nchi nzima alafu nyumbani kwake kuzorote.? yani asiifanye lolote Ili anapomaliza muda wake nduguze wamtukane kwamba hakufanya lolote nyumbani kwao (kama nyerere 😂😂 I'm kidding) .?
 
We taahira nimekuambia Burigi Chato NP sio planted National Park, ni upgraded Game Reserves iliokua na wildlife toka awali, na bado Tanzania ina zaidi ya Game Reserves 17 zenye wanyama wengi tu

 
kipindi cha magu kabla ya covd tulihiti our highest score revenue kwenye italii aliwezaje?
Kabla hujanijibu naomba utuwekee yale mapato tuliokia tunawachapia wakenya hapa


Hii posti inakuusu geza ulole
Hata sasa tunawachapa hao Wakenya we msukule wa Mwendazake.

Mapato ni Til.3 2021 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-132113.png
    138.4 KB · Views: 32
Zaidi ya 35% ya Tanzania ni virgin reserved area, wanakaa wanyama tu, FYI Game Reserves ni nyingi kuliko National Park, unaposema Burigi ni eneo liliopandikizwa wanyama inaonesha namna huijui Tanzania

 
Mtapinduka na kushangaana Sana,mtafanya kampeni za kijinga humu ndani ila mimi kamwe sitabadili msimamo nilikuwa nao kabla ya Mwendazake kuwa Rais,alipokuwa Rais na hata baada ya kufa..

Kwamba alikuwa Rubbish na aliyeleta hasara kubwa Sana kwenye hii Nchi kuliko.
 
Zaidi ya 35% ya Tanzania ni virgin reserved area, wanakaa wanyama tu, FYI Game Reserves ni nyingi kuliko National Park, unaposema Burigi ni eneo liliopandikizwa wanyama inaonesha namna huijui Tanzania

View attachment 2254396
Jamaa hawajui kitu kuhusu Tz lakini wanalazimisha kutuzumgumzia 😂😂😂 Wana matatizo si bure
 
Huyu ndio Rais anaejali watu wake,sio yule mropokaji na WA kudhalilisha wananchi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220608-153536.png
    138.7 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…