๐๐๐hotel itajengwa na itaisha mbaya zaidi wametengewa fungu la ujenzi wa mabarabara hifadhini chato hioooooooooooooBurigi Chato Hotel U/C
Basi tuamishe na utalii kaskazini tuupeleke maraWananchi wa Biharamulo wagomea jina la Burigi Chato Natioral Park! Samia awaahidi gate lao!
Sikiliza kuanzia dk 24
MY TAKE
Hizi ndo zile siasa za controversy za JPM ninazosema! Ziwa Burigi lipo Biharamulo mkoa wa Kagera ambapo ni km 82 toka Chato (km 116 toka Chato Airport) ila imelazimishwa kuwa hifadhi Burigi Chato na gate likawekwa Chato km 82 toka ziwa Burigi na kuna mji wa Biharamulo (mkubwa zaidi ya kijiji cha Chato) ulio km 16 toka ziwa Burigi na hini ya km 20 kuna Biharamulo GR na Kimisi GR halafu hamna gate la kuingilia mbuga ya Burigi Chato!
Cha msingi ni kudhibiti mianya ya upotevu wa hela za serikali lakini sio kumyima mtu haki yake in the name ya maendeleo.Kipindi cha kikwete watu waliongozewa mishahara ila wizi ulikua pale pale na zaidi na mfumuko wa bei ulikua juu kuliko awamu yoyote ile, mkuu kuongeza mshahara sio jambo baya ni zuri ila liwe kwenye uwezo wetu
Sawa boss kwa sababu KQ482, 484 na 488 zote zikona livery ya Kq, na hizo ndio routes za DarEmbraer 190.
Wewe ni mtu wa chuki tuu. Watu kama nyinyi mkipewa madaraka hamkawii kuleta genocide kwenye nchi.[emoji1787][emoji1787]yani hilo ajuza linajionaga jiarabu kweli[emoji28][emoji28]ndiyo maana kwenye ile katuni ya royal tour amebembeleza hadi katajwa kuwa "mweupe " woman in white colour" wakati hapo kapaka mikorogo ya kila aina ila wapi ...sura kama anajikamua [emoji90][emoji90]
Ni kitu ambacho hata JPM alishindwa katika kujaribu kusambaratisha utalii wa Kaskazini! Msifikiri utalii ni kitu rahisi rahisi!Basi tuamishe na utalii kaskazini tuupeleke mara
Ila we fala kweli? JPM alitaka kusambaratisha utalii akanunua midege mingi vile? Tena midege yote mikubwa akaipa majina ya vivutio vya kaskazini, una chuki za kike na already marehemu human being na sio lolote, ulisema hajajenga barabara Kilimanjaro, nimekuwekea barabara alizojenga aibu ikakujaa! ๐ฎNi kitu ambacho hata JPM alishindwa katika kujaribu kusambaratisha utalii wa Kaskazini! Msifikiri utalii ni kitu rahisi rahisi!
Sasa unanitukana kwavile simzimikii JPM na controversy yake? Sasa alinunua ndega halafu akafunga lodges Moshi alizoshindwa kujenga Chato? Nani ana wivu wa kike? Hebu nionyeshe lodge hata moja Chato inaifikia Weruweru au Aishi Protea Machame! BTW watu wa Biharamulo wameikataa Burigi Chato National park leo! Wamemwambia mama Samia afute ilo jina!Ila we fala kweli? JPM alitaka kusambaratisha utalii akanunua midege mingi vile? Tena midege yote mikubwa akaipa majina ya vivutio vya kaskazini, una chuki za kike na already marehemu human being na sio lolote, ulisema hajajenga barabara Kilimanjaro, nimekuwekea barabara alizojenga aibu ikakujaa! ๐ฎ
Sio Magufuli alikua anataka kujenga cable cars Kilimanjaro? ๐ค
Sasa kwa nini hutaki chato iwe kitovu cha utalii?Ni kitu ambacho hata JPM alishindwa katika kujaribu kusambaratisha utalii wa Kaskazini! Msifikiri utalii ni kitu rahisi rahisi!
Haikuwa na Livery ya Sky Team kweli...kuna ndege za Alliance za Sky Team zinakuwaga na sky team liveryEmbraer 190.
Kwenye sekta ya usafiri amtufikii hata kidogoUngefanya utafiti kwanza kabla ya kukurupuka, sio jambo geni..,
kwani unaelewa nn maana ya neno controversy?Yani Geza Ulole siamini kama ni wewe unaye type ..unaweza hisi account imekuwa hacked..
Wewe Geza wakusifia Kila kitu cha magu ..tena ukafanya watu wengne wampende Magu...na ulikuwa una i track na kusifia miradi yake na ndege etc
Leo unaiita vitu vyake upuuzi..
Aiseh typical ndumi la kuwili..
Magu had his mistakes lakini..una complain kama vile ulikuwa unateseka sana..wakati wake
Barabara za kule majengo ndanindani,yakuelekea bonite bottlers limited (shirimatunda)za pale mjini kati zote zimejengwa na JPM,mnyonge mnyongeni haki yake apewe...barabara ya kuelekea kidia kutoka kiboriloni nayo aliisogezaIla we fala kweli? JPM alitaka kusambaratisha utalii akanunua midege mingi vile? Tena midege yote mikubwa akaipa majina ya vivutio vya kaskazini, una chuki za kike na already marehemu human being na sio lolote, ulisema hajajenga barabara Kilimanjaro, nimekuwekea barabara alizojenga aibu ikakujaa! [emoji706]
Sio Magufuli alikua anataka kujenga cable cars Kilimanjaro? [emoji848]
Yeah u r correct mkuu.Haikuwa na Livery ya Sky Team kweli...kuna ndege za Alliance za Sky Team zinakuwaga na sky team livery