Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe joto la jiwe huwa unaamini kabisa kwamba hakuna ukabila Tanzania japo Watanzania wenzako wanakueleza kwamba upo. Kwa nini unajitia hamnazo?
Kwani jukumu la kusema Kenya Kuna ukabila ni la baadhi ya watu wachache, Kuna tafiti za kijamii ndio zinapaswa kuonyesha Hilo, ambapo zinapita mitaani na kuuliza wananchi, zaidi ya 75% ya wananchi wakisema Kuna ukabila, ndio inakubalika

Sasa Kama Kuna watu wachache kwasababu zao binafsi wanasema hivyo, hayo ni maoni Yao. Unadhani ukabila unaota Kama "mushrooms?", Kwamba miaka yote huko nyuma Tanzania imekua ni nchi Haina ukabila, lakini ghafla ameingia kiongozi usiyempenda, ghafla tu Kuna ukabila Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Serikali haina uwezo nani amekudanganya,umeona wap nikilalamika?Tatizo wewe ndio mbinafsi kwasababu unaona kuongezwa mishahara ni hisani au matumizi mabaya wewe umesoma shule wapi kwani?

Watu walisubiri for 7years bila nyongeza kwahyo ulitaka waendelee kusubiri hadi lini
 
Nimependa huyu kijana anajiiita 'Explore with Bertin' anavyoielezea na kuichambua miradi ya Tanzania..tena kwa kingereza...

Mfano hapo chini kaielezea vzr stendi ya magufuli...kumbe bado haijaisha na wanajenga flyovers mbili hapo hapo mbezi..

 
Mkuu upo biased Sana kwa Magufuli, hivi watanzania wote waliokua wanamkubali ni watu toka Kanda ya ziwa?, Waafrika wote waliomlilia, mfano PLO wa Kenya, pia alifaidika kwa mujibu wako?, Rudi YouTube na angalia clips za wakenya walivyokua wanamkubali, wote hao ni wajinga au walifaidikaje Moja kwa Moja?. mkuu jitathmini katika hilo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
SSH Jana kaupiga mwingi kwa kupokea utambulisho wa Mabalozi wa Nchi 4 👇
 

Attachments

  • IMG-20220607-WA0459.jpg
    98.9 KB · Views: 36
  • IMG-20220607-WA0433.jpg
    108.8 KB · Views: 33
  • IMG-20220607-WA0456.jpg
    101.1 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220608-110731.png
    219.5 KB · Views: 29
Aisee hata umpe fact zipi hawezi kuelewa, ameshaongezwa laki moja amelidhika.
 
Kenya pekee ndiyo inapuuza sector ya kilimo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huu mradi una awamu kama tatu ndo kwanza wapo awamu ya kwanza awamu ya pili kuna expansion ya parking ya mabasi na ujenzi wa hoteli
 
Ongezeko la mishahara linasaidia kuongeza money supply kwenye economy hivyo Tz kwa miaka mitano iliyopita money supply was below recommended margins. Aliyesoma uchumi atajua maana ya broad and narrow money supply M1 M2 and even M3
 
Ni kweli. Jambo moja ambalo limesaidia nchi hizi tatu kufikia middle income status kwa haraka ni East African Community (EAC) iliyoanzishwa mwaka wa 2001. Uwezo wa kutrade bila tariffs na trade barriers vya kijinga ni moja ya sababu kuu ya nchi hizi tatu kufaulu kiuchumi. vikwazo vya kibiashara, trade quotas, trade tariffs na kadhalika vinahujumu trade kufanyika. Nchi zote isipokuwa Zambia ambazo zimezunguka hizi nchi tatu ni LDC. Ethiopia, Somalia, South Sudan, Rwanda, DR Congo, Burundi, Malawi na Mozambique zote ni LDC. Zambia tu ambayo imepakana na Tanzania ndio MIC na ilikuwa middle income zamani sana. Yaani original EAC members Tanzania, Kenya na Uganda soon sote tutakuwa middle income na majirani zetu waliotuzunguka bado watabaki kuwa LDC kwa miaka kadhaa. Rwanda iliyojoin EAC mwaka wa 2007 inaweza kuwa next kujoin MIC baada ya Uganda. Kwa watu kama Geza Ulole ambaye anapenda kusema kwamba Tanzania ifunge border na Kenya natumai umeanza kuona manufaa ya free trade. Trade bila vikwazo inafaidi kila mtu. Uwache kuchocha rais Samia kwamba afunge border na Kenya. Mazungumzo yanatosha kusuluhisha matatizo ya kibiashara.
 
Wacha kufikiria kama zuzu bana, ebu niletee ile ndege ulisema ya kq haikua na livery kwanza, which livery did it have?
Amekuuliza swali zuri Sana, tafadhali mjibu kwa manufaa ya wengi, vipi rais wa nchi ambayo sio wako unamchukia, anakuhusu nini?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…