joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwahiyo kwa upumbavu wako huko kote wanakoongoza kwa kuwa nchi zenye Amani duniani, Iceland, New Zealand, Ghana, Botswana, Mauritius kote wanawekwa zizi Moja?. Kwahiyo sifa kubwa ya kutowekwa zizi Moja ni kuchinjana na kubaguana Kama Kenya?Eneo hii watu wa kuwekwa Zizi moja kama kondoo wanajulikana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

