Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama amphitheater za romans aisee
 
Upo kwenye pipeline na pesa tayari WB wameziachia. TAMISEMI wapo kwenye mchakato wa tendering and procurement
 
Heheheheeee umeumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja kuna kazi namalizia alafu nitakurudia with evidence mpk unyooke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeandika insha refu ila nataka tu kusema jambo moja. Tangu lini mtanzania akajua kiingereza aanze kufunfisha na wengine. Kama Magu mwenyeww hakuwahiijua hiyo lugha sasa vilaza wa humu wataijuaje?
Ndio huu upumbavu hataki bwana Tony misemo ya kizamani sn hii, hivi una miaka mingapi we mkalee mana isije ikawa nachat na babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Njoo inbobo nikutunuku kipusa cha kindengereko, umenigusa 😅😅😅😅
 
Did you know that at 4.5km, the Ngong SGR tunnel is the longest railway tunnel in East Africa and the second longest on the African continent? It has a clearance height of 9 meters and a width of 7 meters
 
Ndio huu upumbavu hataki bwana Tony misemo ya kizamani sn hii, hivi una miaka mingapi we mkalee mana isije ikawa nachat na babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo mimi sio mjaluo tena 😂 😂
Kilaza wa mwisho
 
I knew you got nothing under your sleeves. But as I said, povu rukhsa and that's what you've done. Adios bongolala!
 
Kubaliana naye uitwe mungwana kama Tony.🤣🤣
 
Mwengine nimemwambia jana hii tabia ya kujifunza new vocabulary alafu unakimbilia kuitumia kwa sentensi waache maanake wanaexpose ujinga wao. [emoji1787] [emoji1787]
Toka hko juu umekazania new vocabulary, na vocabulary yenye unazungumzia ni ATP, unaonyesha jinsi ulivyo mjinga na ktu pekee unachojua ni kingereza tu labda[emoji28]
 
siasa ziliharibu kama si Rostam kuingilia management ya Original comedy ITV kipindi kile Kunyaland isingeona ndani hata kwenye hii sector! Kupindi cha kanumba filamu ilikuwa na nguvu pia!
We mzee hukosangi kitu ya kujitetea. 🤣 🤣 🤣
 
Mimi si support swala la kuboresha hivi viwanja vya ccm kwanza viwanja hivi vilipewa ccm wakati nchi ni ya chama kimoja na hakukua na mtengano thabiti kati ya serikali na chama wakati huo hivyo viwanja vyote ni mali ya serikali tz na vinabidi virudishwe serikalini kwanza. Suala la kuingia ppp na ccm kuboresha hivi viwanja haitakuwa jambo la busara maana in the long run mfaidika hapo atakuwa ni ccm on the expense ya vyama vingine na italeta alot of sintofahamu.
 
siasa ziliharibu kama si Rostam kuingilia management ya Original comedy ITV kipindi kile Kunyaland isingeona ndani hata kwenye hii sector! Kupindi cha kanumba filamu ilikuwa na nguvu pia!
Wabongo hamtawai kubali ukweli.🚮🚮
 
Haya tunaanza sasa, kwanza nashukuru cku hz una adabu mana kuna vitu nimevitaja ukaviacha kama vilivyo which means umekubali kimya kimya.

1. The busiest airport in East and Central Africa, JNIA na picha za u busy wake zimewekwa humu recently, ukitaka nitakuonesha [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2. The longest SGR railway line in Africa, ukibisha taja SGR ndefu kuliko hii popote pale ilipo Africa kama huna kalia chupa na ukae kwa kutulia [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
3. The biggest hydro power dam in EAC, JNHPP (Ethiopia labda umeiweka wewe EAC) bonge la dude[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…