Mimi nipo hapa kutuliza akili. Sipo hapa kuleta ugomvi. Mimi huja JF kutuliza akili hususan nikiwa ofisini na vitabu vimekataa kubalance huwa nakuja hapa kutoa stress. Kama kuna mtu ana tatizo na JF basi mimi sina tatizo na JF.Tony254 kwann unamuacha huyu mbwa akupande kichwani kwa kukupangia what to say and what not to say?
🤣 🤣 🤣 🤣 Hii sio official website wacha ushamba, huwezi pata logo ya ford kwa website ya Land Rover wacha ufala.Huyu jamaa mada zake cheap cheap sana ingia kwny hiyo website inayonekana hapo juu peruzi utakavyo ukiridhika ulale!!!We unafikiri investment yake ni kama kuanzisha kiwanda, just a showroom.
View attachment 2251558
Ss usiache hawa wapumbavu wachache wakupande kichwani ili wapate sifa kwa gharama zako, mm wkt najoin hii thread kuna mbwa walikuwa wanataka kunipangia cha kuongea nilionesha msimamo mapema kabisa na wakaacha upumbavu, usikubali mjinga a control mawazo yako hata kama ni national mwenzio.Mimi nipo hapa kutuliza akili. Sipo hapa kuleta ugomvi. Mimi huja JF kutuliza akili hususan nikiwa ofisini na vitabu vimekataa kubalance huwa nakuja hapa kutoa stress. Kama kuna mtu ana tatizo na JF basi mimi sina tatizo na JF.
Stop living in the past GezaTBT: Mwl advocating unity among SADC members!
Siwezi kubali mtu yeyote anipangie cha kusema. Kuna watu niligombana nao sana hapa walipokuwa wanajaribu kunipangia cha kusema. Najua unakumbuka hio siku.Ss usiache hawa wapumbavu wachache wakupande kichwani ili wapate sifa kwa gharama zako, mm wkt najoin hii thread kuna mbwa walikuwa wanataka kunipangia cha kuongea nilionesha msimamo mapema kabisa na wakaacha upumbavu, usikubali mjinga a control mawazo yako hata kama ni national mwenzio.
Kuna mbwa huwa wanasema hatujui mchezo wowote, sisi huwa tunawaambia soka ndio mchezo wetu namba moja, nadhani kwa ss hakuna kelele tena. Alafu angalia Watz tulivyo hatuna kelele, yn hii ingekuwa failed state wallahi tusinge comment humu kwa wiki nzima.
Habari ndiyo hiyo, nmeona nikwambie mana wewe ndiye mkenya pekee mwenye akili humu kwenye huu uzi, kuna mbwa anakupanda kichwani anadhani utakaa kmy kisa ni mkenya mwenzie sasa hiyo co sawa. Juzi amekutoa akili ukakaa kmy, leo tena amekutoa akili wkt una uhuru wa kuongea kile unachoona ni sahihi.Siwezi kubali mtu yeyote anipangie cha kusema. Kuna watu niligombana nao sana hapa walipokuwa wanajaribu kunipangia cha kusema. Najua unakumbuka hio siku.
Kuna mbwa huwa wanasema hatujui mchezo wowote, sisi huwa tunawaambia soka ndio mchezo wetu namba moja, nadhani kwa ss hakuna kelele tena. Alafu angalia Watz tulivyo hatuna kelele, yn hii ingekuwa failed state wallahi tusinge comment humu kwa wiki nzima.
Angalia wakishinda medali kwenye michezo isiyopendwa sn duniani kama mbio wanavyopiga kelele, ila cc tumetisha kwenye mchezo namba moja duniani na hatupigi kelele wala nn. Sisi co washamba kama wao.
Relax boss, I simply said I don't understand how you tolerate some idiots here juu nimedeal nao ni watu wenye hata ukitoa facts watapinga tu sio eti nakupanga. Unachochwa na ng'ombe kama the best whatever na unachocheka tu.Siwezi kubali mtu yeyote anipangie cha kusema. Kuna watu niligombana nao sana hapa walipokuwa wanajaribu kunipangia cha kusema. Najua unakumbuka hio siku.
Na ww ndio wakunifunza kusu hyper inflation? Sasa jua tu rate ya above 5% up to 10% ni hyperinflation inapo rangeWewe unajua hyper-inflation ni nini? Usitumie maneno usiyoyaelewa.
Huwa unamambo ya kizembe sana mda mwingine, ukiona nchi yako ina inflation above 5 jua mko pabaya ...sasa ww neng'eneka tu hapaWewe unajua hyper-inflation ni nini? Usitumie maneno usiyoyaelewa.
Tunalinganisha nchi zinazofanana, Kenya na Uturuki wapi na wapi?Sasa kama unacheka ya Kenya na hii ya Turkey utafanyaje?
View attachment 2251294
I come here to enjoy myself. I don't take things here too seriously. My real life is too serious especially at the office. I usually need a release and JF is my release. This is where I come to release stress. Play around, joke around and remove stress. My office work can be monotonous and serious and dealing with these people whom you may consider fools is my way of detoxing from the office environment. Bringing myself to their level makes me feel human again. To me it is almost therapeutic. So now I hope you understand why I come here. I consider these people my friends.Relax boss, I simply said I don't understand how you tolerate some idiots here juu nimedeal nao ni watu wenye hata ukitoa facts watapinga tu sio eti nakupanga. Unachochwa na ng'ombe kama the best whatever na unachocheka tu.
Wao watoe mawazo yao zen kama watakuwa hawakubaliani na wewe basi wakukosoe kwa hoja na sio mtu akuone huna akili hiyo sio sawa, hiki ndicho kitu ambacho nilipambana nacho mapema sn wkt naingia kwenye huu uzi, kwamba mtu awaye yote anapaswa kuheshimu mawazo yangu kwasababu mm naheshimu mawazo yake, sasa inakuwaje mtu anitoe akili? Hii co sawa kabisa.I come here to enjoy myself. I don't take things here too seriously. My real life is too serious especially at the office. I usually need a release and JF is my release. This is where I come to release stress. Play around, joke around and remove stress. My office work can be monotonous and serious and dealing with these people whom you may consider fools is my way of detoxing from the office environment. Bringing myself to their level makes me feel human again. To me it is almost therapeutic. So now I hope you understand why I come here. I consider these people my friends.