Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Edelweiss inakuja sasa hivi au haiji..?

Edelweiss ni seasonal mzee kama condor ilivyokuwa inafanya...

Mimi sio kwamba nachukia watalii kuja ..am.just saying facts ..edelweiss ni seasonal

Ni kama Turkish na Fly Dubai kwenye KIA route huwa sio mwaka mzima
Wewe vp? Edelweiss inakuja na June iko full booked unaweza kusafiri nao kuanzia July 22nd! Mbona vitu rahisi ingia website yao halafu jaribu ku-book flight! Turkish Airlines iliacha kuja kwa ajili ya corona ila ilisharudi kitambo!

Screenshot_2022-06-04-18-00-43.png

Kwa taarifa yako Edelweiss imeacha kwenda Mombasa.
 
Edelweiss inakuja sasa hivi au haiji..?

Edelweiss ni seasonal mzee kama condor ilivyokuwa inafanya...

Mimi sio kwamba nachukia watalii kuja ..am.just saying facts ..edelweiss ni seasonal

Ni kama Turkish na Fly Dubai kwenye KIA route huwa sio mwaka mzima
Usiwe unabisha kifalamanga Fly Dubai, Turkish Airlines, Edelweiss na Eurowings r regular flights! Leta facts ati ni seasonal flights!

Najua inakuuma Mombasa imedorola! Only Condor ni seasonal flight! Ingia websites ya hizi airlines utaona!
 
Huu ni uongo alafu mko hapa kusema viongozi wetu ni waongo
Huo ndio ukweli mtu hawezi kuondoka kwenye nchi ambayo food is plenty and cheap, booze is cheap also, cost of living is low, purchasing power kubwa, health and social welfare top notch on top of that public security iko high. Uende wapi tena unless wewe ni kichaa.

But people are likely to migrate out of their country if there are security concerns, food availability is a problem, people dying of hunger and starvation, low purchasing power economy, health and social welfare haileweki and many more reasons.
 
chongchung na Geza Ulole sisi hatujali kama Wakenya wanafanya kazi za aina gani bora watume billions of dollars nyumbani. Aiseeh unadhani $3.7 billion ni pesa kidogo?
Hizo remittances zinafanya kazi gani huko Kenya zaidi ya kwenda kwenye mifuko ya watu? Investments kwenye Afya elimu maji barabara zinafaidikaje na remittances hizo?

Kama hukubaliani na mimi hapo juu nioneshe basi remittances zikichukuliwa kama chanzo cha budget revenue ya Kenya.
 
Huwezi kulinganisha economic benefits zitokanazo na mining na remittance, kama Tanzania government imepata revenues ya $3.5b ujue money circulation ni zaidi ya hiyo pesa.
Amenishangaza sn bwana Tony kulinganisha mapato ya minerals na remittance, hyo $3.7b GoT imepata kwenye kodi tu hapo hazijahesabiwa pesa ambazo Watz na wasio Watz wanapata na kupeleka nyumbani kama hizo remittance, mzunguko wa money from mining ni mkubwa mno inaweza ikawa mara 10 ya pesa za remittance, kwanza remittance co source of govt income unawezaje kulinganisha na Govt revenue from mining industry?
 
Bora umueleweshe huyu kilaza Tony254 kwamba mapato ya madini yananufaisha Watanzania wote kwa kugharamia mipango ya serikali miundombinu ikiwemo wakati remittance sio pesa ya serikali!
 
Nani amekuambia kwamba hio $3.5 billion yote inaenda kwa GoT? Usiongee mambo usiyoyaelewa. Naona umeanza kuropokwa. Hio $3.5 billion ni mapato baada ya kuuza madini. Sehemu kubwa inakwenda kulipia expenses ya kuendesha kampuni hizo kama vile kulipa salaries. Katika net profit itakayopatikana, sehemu kidogo ya hio pesa ndio itaenda kwa GoT kama taxes, dividends. Pia kuna royalties. Sehemu kubwa itakayobaki itakuwa ni faida ya mwekezaji.
Cc chongchung
 
Bora umueleweshe huyu kilaza Tony254 kwamba mapato ya madini yananufaisha Watanzania wote kwa kugharamia mipango ya serikali miundombinu ikiwemo wakati remittance sio pesa ya serikali!
Hata hio mapato yenu ya madini ya $3.5 billion ujue most of it inaenda kulipa expenses kama salary, maji, stima ya mining companies. kisha sehemu fulani inaendea GoT kama taxes, dividends and royalties kisha sehemu fulani inabaki na investor kama faida. Mimi sio mjinga unidanganye kwamba hio $3.5 billion yote inakwenda kwa serikali ya Tanzania. Wewe na The best 007 tafuteni mjinga mwingine wa kudanganya. Mimi sidanganyiki virahisi.
 
Back
Top Bottom