The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Maisha ya hovyo huko West ndio maana wanakimbia kwao..Na Togo yenye watu 8 million kwa nini inawashinda kwenye remittance na nyie mko watu 60 million?
View attachment 2250344
Mi uwa natumia ya Airtel sometime kulipia hosting au domain , maana mda mwingine kwenda benki uvivu . Unalipa faster maisha yanaendelea
Wacha tuone kama itafanyika. Next week sio mbali.Final LNG View attachment 2250353
Gold revenue ni zaidi ya Remittance Kunyaland! Epuka kuropoka bila kutazama facts kwanza!Hahaha. Ni kweli lugha hususan ya kiingereza ni muhimu kukifahamu. Huwa mnapenda kusema kwamba kujua kiingereza hakuna manufaa yotote. Lakini ukiangalia nchi tatu zinazopokea remittance nyingi zaidi Nigeria, Ghana na Kenya zote zinakithamini lugha ya kiingereza na kukipatia kipa umbele. Kenya kupata remittance ya $3.7 billion kwa mwaka sio mchezo. Hio ni nyingi kushinda mapato yenu ya dhahabu. Kenya hatuna dhahabu kama nyie, dhahabu yetu ni human resource (rasilimali watu).
Haaaaa sijui unalia huko ushapata wivu huko haaaaaaa , pole mkunya vumilia tuWacha tuone kama itafanyika. Next week sio mbali.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona .
kale ka-GDP chenu cha mchongo sijui kama kata-survive after SGR Tanzania, LNG and EACOP r completed! Hapo Nickel, cobalt, helium and graphite still investments zinakuja! Hata coal export imepanda!! Naona mko busy ku-frustrate LPG export from Tanzania to Kunyaland! Ningekuwa mama ninge-introduce tax ya LPG import in Kenya from Tanzania kwa other Kenyan exports to Tanzania to balance the unfair trade!Wacha tuone kama itafanyika. Next week sio mbali.
Tony254 nafikiri remittamce nyingi zinatoka kwenye hii kazi ya umalaya kwa Dada zenu waliopo abroad, kama early in the morning mambo ndio haya usiku kuna hali gani hapa?Kabisa mkuu jiji lina umasikini mkubwa, chiga wametandika nguo ktk viambaza(pavement) vya barabarani, vumbi mtindo mmoja, magorofa yamepigwa plasta na rangi sehemu ya mbele lakini kuta za pembeni na kuta za nyuma hazikupigwa plasta, traffic lights hazifanyi kazi, watembea kwa miguu wanahatarisha maisha yao kwa kutembea kwenye 'flyovers' n.k mambo ni mengi .
Kwa kifupi Waswahili tunasema mambo yote hadharani, hii Video imewaumbua wana wa Nairobi
How prostitution done early in the morning in Nairobi Streets Prostitution in Nairobi
Huu ni uongo alafu mko hapa kusema viongozi wetu ni waongoThe answer is simple the quality of life in Tanzania is better in comparison to the countries on that list hence most Tanzanians prefer not to migrate abroad in seeking of greener pastures.
Huwezi kulinganisha economic benefits zitokanazo na mining na remittance, kama Tanzania government imepata revenues ya $3.5b ujue money circulation ni zaidi ya hiyo pesa.Remittance ya Kenya ni $3.7 billion. Remittance ya Kenya imeshinda gold revenue yenu ya $3.5 billion. Epuka kuropoka bila kutazama facts kwanza.
Cc tuusan
niliwahi kwenda Cologne dada zake wamejaa kwenye madanguro!Tony254 nafikiri remittamce nyingi zinatoka kwenye hii kazi ya umalaya kwa Dada zenu waliopo abroad, kama early in the morning mambo ndio haya usiku kuna hali gani hapa?
Apart from African business Insider hata Capital fm business inaconfirm kwamba Kenya ilipokea remittance ya $3.7 billion. Hizi ni sources mbili tayari zimeconfirm sasa tusipinge facts. Tukubali tu kwamba Kenya inapokea mapato mengi kupitia remittance $3.7 billion kushinda mapato ambayo Tanzania inapokea kupitia dhahabu $3.5 billion. Angalia mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu.tuusan njoo tuchambue hii latest statistics. Najua unapenda hivi vitu kama mimi. Kenya ni ya tatu kwa kupokea remittance in Sub-Saharan Africa. Tanzania haipo top 10. Inapigwa na nchi ndogo kama Togo. Hivi niulize, ni kwa nini Tanzania ina diaspora population ndogo? Kwa nini huwa hampendi kutembea nje ya nchi yenu?
- Nigeria: $19.2 billion
- Ghana: $4.5 billion
- Kenya: $3.7 billion
- Senegal: $2.7 billion
- Zimbabwe: $2.0 billion
- Democratic Republic of Congo: $1.3 billion
- Uganda: $1.1 billion
- Mali: $1.1 billion
- South Africa: $900 million
- Togo: $700 million
10 African countries that receive the highest remittance inflows, according to latest stats
10 African countries that receive the highest remittance inflows, according to latest statsafrica.businessinsider.com
Tony254 nafikiri remittamce nyingi zinatoka kwenye hii kazi ya umalaya kwa Dada zenu waliopo abroad, kama early in the morning mambo ndio haya usiku kuna hali gani hapa?
chongchung na Geza Ulole sisi hatujali kama Wakenya wanafanya kazi za aina gani bora watume billions of dollars nyumbani. Aiseeh unadhani $3.7 billion ni pesa kidogo?niliwahi kwenda Cologne dada zake wamejaa kwenye madanguro!
sasa gold alone part of minerals inakaribia ur remittance how about when other minerals n gemstones r combined?Apart from African business Insider hata Capital fm business inaconfirm kwamba Kenya ilipokea remittance ya $3.7 billion. Hizi ni sources mbili tayari zimeconfirm sasa tusipinge facts. Tukubali tu kwamba Kenya inapokea mapato mengi kupitia remittance $3.7 billion kushinda mapato ambayo Tanzania inapokea kupitia dhahabu $3.5 billion. Angalia mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu.
NAIROBI Kenya Jan 16-Diaspora remittances to Kenya hit an all-time high of USD 350.6 million(Sh39.7billion) in December, as Kenyans abroad sent home money for the festivities, the Central Bank of Kenya has revealed.
According to the latest CBK weekly bulletin, this represented a 9.5 per cent growth compared to the $320.1million(Sh36.2billion) sent in November.
In a similar month last year, total remittances were $299.6million(Sh33.9billion), a 17.0 percent increase which means Kenyans abroad sent more money this year despite the impact of Covid-19 continuing to be felt across economies.
“The cumulative inflows in 2021 were a record of $3,718 million from $3,094 million in 2020, a 20.2 percent increase,” said CBK.
The US remains the largest source of remittances into Kenya, accounting for 63.2 percent in 2021.
Other significant source markets include the UK, Germany, and Canada.
Gulf states such as Saudi Arabia, United Arab Emirates, Qatar, and Bahrain have also emerged as important drivers of remittances, in line with the growing number of Kenyans immigrating to these countries in search of jobs.
Global payments firm, WorldRemit in October last year projected that Kenyans living broad would send home more money as the December festive season approached.
According to the firm, the emergence of digital payments and concepts such as mobile wallets has brought more people into the financial system and greatly contributed to the steady increase in remittances inflows over the past decade
Kenya’s diaspora remittances hit record high of Sh39.7bn in December
NAIROBI Kenya Jan 16-Diaspora remittances to Kenya hit an all-time high of USD 350.6 million(Sh39.7billion) in December, as Kenyans abroad sent home money for the festivities, the Central Bank of…www.capitalfm.co.ke
Cc tuusan Geza Ulole