REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,690
Hizi zilikua propaganda za Chadema miaka hiyo na huko nyuma.Ngojeni muone wakipita kimya kimya. 🤣 🤣 🤣 🤣
Both rural and urban.unajua TARURA stands for Rural..wao ndo wana deal na Roads za Vijijini
Na mimi ningekua sijui Dar na Mwanza ungenibeba ujinga unavyo beba wenzako humu mr. google and tweeter., walai mmechoka kama jiji la Mwanza, mnapata tabu sana, sio makosa yetu, ni Kenya ilivyo, mtazoea tu, mimi sina ubaya, poleni kwa ufukara🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣ningekua siijui mombasa kweli ungenidanganya lakini mbaya zaidi huna kitu utanidanganya🤣🤣 mm nakuomba upumzike kwa sasa najua relay ishapata moto
Hii kitu uwa nashindwa kuingiza mods za road za TZTanzania map in Euro Truck Simulator 2 [emoji91][emoji91]View attachment 2249919View attachment 2249920View attachment 2249921View attachment 2249922View attachment 2249923View attachment 2249925View attachment 2249926
🤣 🤣 🤣 Wengine tena. Watu wanaumia lakini hamtaki kukubali.Hizi zilikua propaganda za Chadema miaka hiyo na huko nyuma.
Sasa wewe huini aina ya nguo na viatu walivyo vaa? Gari halipiti kwenye unpaved roads?
Na ukiangalia chini land ni dry, hakuna mvua, sasa why gari lisipite?
Sasa mtu mahuruti mnapata na wasaa wa kupiga na picha?
Can't your stupid brain give you a little break to reason?
Wapi hii mkuu.Hvi kenya mna resorts nzuri kama izi [emoji116][emoji116]View attachment 2250007
View attachment 2250008
View attachment 2250009
Fanya uchunguzi kabla ya kuuliza, kuna youtube na google, na pia google earth..., mtu asikudanganye, jionee mwennyewe, kisha toa conclusion, usije ukaandika kwa mate kama wenzio na wino upo.Hvi kenya mna resorts nzuri kama izi [emoji116][emoji116]View attachment 2250007
View attachment 2250008
View attachment 2250009
Lol! Wewe huoni mwenye hiyo post ana uniforms za Chadema?🤣 🤣 🤣 Wengine tena. Watu wanaumia lakini hamtaki kukubali.
Ndio maana nmeconclude kuwa hamnaFanya uchunguzi kabla ya kuuliza, kuna youtube na google, na pia google earth..., mtu asikudanganye, jionee mwennyewe, kisha toa conclusion, usije ukaandika kwa mate kama wenzio na wino upo.
Ni wewe tu unajua ni propaganda, prove it then. Kama huwezi this evidence stands.Lol! Wewe huoni mwenye hiyo post ana uniforms za Chadema?
Sasa ndugu yako yuko mahututi unapatage wasaa wakupiga picha?
Can't you see or fathom kuwa ni kitu imekua staged
Most Chadema members are uneducated and were engaged in silly propaganda.
Wewe siku zote huna akili, bado inajiita msomi, inflation rate lazima ipande lakini serikali lazima iwe na uwezo wa kudhibiti isifikie Kiwango cha kuwaumiza wananchi, unadhani huko Wester n countries ilikua miaka yote haipandi, kwanini hivi Sasa wanalalamika?, Hii ni kwasababu hivi Sasa imepanda kwa Kiwango kikubwa wananchi wanalalamika kwamba maisha yamekua magumu.Wacha ujinga inflation imepanda dunia nzima. Sasa unapinga pia hilo? Ulirogwa na nani wewe kiasi cha kupinga hata vitu obvious? Kwani ni uongo kwamba in the last one year inflation imepanda katika majority ya nchi za dunia? Ukiangalia data ya April 2021 na April 2022 ya nchi nyingi utaona ninachosema. Usiwe unapinga hovyo.
Hii ni povuuu😆😆😆, kuna picha hovyo za TZ zinaonyesha barabara hovyo na magari yamekwama pia, hiyo haibadilishi ukweli bana, mko chini bro, ba mzee umeteseka kweli, kila mti umeteleza, unatapatapa tu, utakufa kwa pressure, nenda ukazubae kwa beach kama uko pwani utulize machungu usipate ulcers, ni vigumu kupingana na ukweli, ni weekend kaka 😆 😆 😆 🤣Watanzania wakichimba dawa
Angalia buses quality
Rest area quality
Road quality
Then nenda upande wa pili 😂😂😂😂
Nao wanachimba dawa
Angalia quality ya bus, barabara na rest area 🤣🤣🤣
View attachment 2249973
View attachment 2249974
View attachment 2249977
Uko tu sawa vile ulivyo, hiyo fikra inakutosha kabisaa.Ndio maana nmeconclude kuwa hamna
How many times must I prove it?Ni wewe tu unajua ni propaganda, prove it then. Kama huwezi this evidence stands.
Weka hapa EuroWings zikileta watalii miaka ya nyuma badala ya kujisemesha tuu bila ushahidi.eurowings ni seasonal route ..pia turkish.. huu ndo msimu wa watalii
You haven't proved anything not even once.How many times must I prove it?
Japokuwa haziji kwa sababu ya Royal tour, Eurowings sio seasonal but will be all year round flights starting with weekly 2 flights! Epuka uropokaji!eurowings ni seasonal route ..pia turkish.. huu ndo msimu wa watalii
The only modernised in the country? Mpumbavu gani ame-post hiyo clip??
Magufuli daraja lakuingia stendi limekamilika
Ukweli ni kwamba, Tanzania ndio chimbuko la SADC, bila Tanzania kusingekuwepo na SADC. SADC ni mtoto wa "Front line states", ambayo ndiyo iliyoongoza mapambano ya kuzikomboa nchi zote zinazounda SADC, ukiacha Lesotho, Zambia, Malawi na DRC, kiongozi wa hiyo "Front line states" alikua ni Nyerere na makao makua ni Dar.shida ni venye Tz mnajipendekeza sana. mna try sana kuji align na kujifix kwa lazma to the southern countries ilahali nyinyi mpende msipende, mko africa ya mashariki.! hivi mnahisi sana as if south africa na nyinyi nikama chanda na pete ama ndugu wa toka nitoke.. ila kwa ground vitu ni different, hivi zamu zote za xenophobia, nyie ndo wa kwanza kufurushwa.![emoji38]
so please please i beg u to slowly leave SOUTHERN AFRICA DEVELOPMENT COMMUNITY.!! to the owners.. eti kila mara SADC this SADC tht... nkt.! nyumbani ni nyumbani bwana.. ata kama ugali tembele
cc: Tony254 whts your take bout these fellas[emoji38][emoji38] joining sadc yet they are totaly in a very different region.!![emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2250019