COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Niko eldoret man maisha inanibamba si siri...na siringi
sent from iPhone 7
Niko eldoret man maisha inanibamba si siri...na siringi
Hahaha mambo ya tusker hayoEldi utadhani downtown nai so busy..dar bado haijafikia eldy![]()
sent from iPhone 7


C'mon man....you never bn like that before...Dar Ni kwel ina tower tatu and Nai Hamna ata moja...sasa how comes muwe betayaani wabongo huwa mnanishangaza sana...Nairobi sio jiji la kulinganisha na lolote ispokuwa SA cities na pengine Moroccan ones...hawa jamaa wana mijengo mitatu za maana pale Dar wakati Nairobi ina three CBDs kwa sasa Upperhill, Westlands na Downtown...kuna mipango ya kuweka Eastleigh iwe business district...CBD zote hizi zina mijengo za kushangaza New York style hivi and more...nyie mna TPA, PSPF na moja ingine hapo nasahau jina kisha mnajifananisha nasi...duh! ama kwli nyie ni vipofu...mtu aliye na akili zake timamu hawezi compare Nairobi na Dar...ila wacha tu tundelee kuwatandika viboko kwenye battle...hata wanigeria wanaamini Lagos imeshinda Joburg...
Unatumia kinywagi gani mkuu?Kwani watu kwenye hii forum walevi wote?
sawa basi...tupambane tu ila si mnajua tu nani atashinda...kwanza hata kwa u/c tumewachapa mpaka Joburg sembuse Dar...the pinnacle, avic, montave na prism..C'mon man....you never bn like that before...Dar Ni kwel ina tower tatu and Nai Hamna ata moja...sasa how comes muwe beta
ata msipokubali Dar Ni kwel yaweza pambana nanyi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
C'mon man....you never bn like that before...Dar Ni kwel ina tower tatu and Nai Hamna ata moja...sasa how comes muwe beta
ata msipokubali Dar Ni kwel yaweza pambana nanyi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Back on it again. This is Kenya where politics has no end! We are voting in Uhuru because of his development in a record four years. Never before
![]()
njoo mji wa londoni