Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

is this the second largest city in Tz? coz Eldoret looks way better,Nakuru don't even mention maybe Kisii or Kericho can give it a run

you must be joking.
but i have to give it to Arusha the have nice organized estates better than any i have seen in Dar but the business district is wanting thou but at least it looks more organized than Dar
you can not feel the taste of arusha by words from another person.....just visit the place by yourself....it's only 3 or 4hrs drive from nairobi.
 
Hii thread imewafungua wengi macho, wale waliokuwa wanaichukulia poa DSM sasa wamekuwa wapole
tuliamua kuingia kazini kuwaonyesha wakenya kuwa hii sio dar ya 90s.

na bado tunaendelea kuwaonyesha sababu kila siku majengo mapya yanaanza kujengwa huku mengine yakikamilika tayari kwa kuanza huduma zilizokusudiwa.
 
acheka sana nikipitia huu uzi nakusoma vile wabongo wanajiliwaza kwa kusema wanajenga kuliko nai,kua dar ya sasa sio ile ya zamani...nlipitia kule skyscraper city Africa section kwa over 20 floors buildings both complete na under construction ndipo nkafahamu hatuitendei haki nai kuilinganisha na dar.
Anyway magu bado miaka mitatu sasa..akipochukua madaraka hatukupumua humu.wapiga ramli walisema awamu ya kwanza tu atawezesha tz kuipiku Kenya.nngependa kujua tumefikia wapi kwa hili au tumuongezee magu awamu ya pili
 
Asante magu
IMG_0008.PNG
 
Tutamuongezea hio wewe usijal lakin habari mumeipata vyema 😀😀😀😀😀😀😀
 
acheka sana nikipitia huu uzi nakusoma vile wabongo wanajiliwaza kwa kusema wanajenga kuliko nai,kua dar ya sasa sio ile ya zamani...nlipitia kule skyscraper city Africa section kwa over 20 floors buildings both complete na under construction ndipo nkafahamu hatuitendei haki nai kuilinganisha na dar.
Anyway magu bado miaka mitatu sasa..akipochukua madaraka hatukupumua humu.wapiga ramli walisema awamu ya kwanza tu atawezesha tz kuipiku Kenya.nngependa kujua tumefikia wapi kwa hili au tumuongezee magu awamu ya pili
punguza jazba.
 
Erection ya avic ndio imewaboost coz last year tulitofautiana nyumba mbili tu.....punguza wenge saadeque

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehee...sio Avic peke yake ndugu.hua hamtaki kukubali ukweli kua nyinyi bado sana.hapa ni ushabiki wa bure lakini ukweli wa mambo nikuwa nai iko na projects kibao sana.pitia tu huko kwa skyscraper kwenye watu sober ndio utaelewa nasema nni.in fact ata msiwahi kurudia kujilinganisha saa ii cz itakua aibu zaidi
 
kampige beat izi mwingine, bongo hatujalala remember!!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Tuusan bana acha kuniangusha...hehee.najua wewe huwa hubishani na ushabiki.yani kumbe tumewashinda na buildings 15 complete na u/c..mko na 29 bana when tuko na 44...ghai.nmewadharau sana.hahaa
 
Original jerseys for Arsenal, Hull City, Southampton, Everton, Gor Mahia, AfC Leopads, Harlequines, ETC on offer in Nairobi's Sportpesa Tent
DJR7iM7W0AE1GQR.jpg
 
Tuusan bana acha kuniangusha...hehee.najua wewe huwa hubishani na ushabiki.yani kumbe tumewashinda na buildings 15 complete na u/c..mko na 29 bana when tuko na 44...ghai.nmewadharau sana.hahaa
Wacha kutupa homa basi washukuruni avic nakwambia last year I checked it was 27 against 29

Back
Top Bottom