Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa basi...tupambane tu ila si mnajua tu nani atashinda...kwanza hata kwa u/c tumewachapa mpaka Joburg sembuse Dar...the pinnacle, avic, montave na prism..
34683904112_e3a7d5219d_o.jpg

2.jpg
17008-AVIC-Intl-Office-HQ-1.jpg
1475820772967-jpg.413760
avic-use-this-960x608_c.png
VB8ckiM.jpg
images
vxh53Dr.jpg
Asante kwa renders😀😀😀😀
Furaha yangu kuona renders
 
nice pics...sasa picha kama hizi ndio mnafaa mlete...sio kila mara TPA na PSPF...mnafanya mji wenu ukae kana kwamba hauna mijengo mingine..kuna wakati Nairobi picha zilkua tu ni KICC na Times Tower...ila baada ya Upperhill na Westlands ku upgrade, sasa tuna variety...
Kwani nyie mnaorudia britam kila wakat au unaona hatuoni😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom