Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa ni level ya Dar wacha kujitekenya.., wameonesha barabara zote, check the key idiot 🀣 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
alafu TANROADS data are not limited to major roads nyambaf, tarura wana manange barabara ndogo ndogo., TANROAD is the main body kama Kenya Roads Board(KRB).., even though kuna KENHA na KURA, body ni KRB.., wacha ufala wewe, mtajua hamjui roundi hii, nyambaffπŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
Wanakagua ujenzi wacha ujinga. Huu sio uzinduzi. Huu ni mchezo wa kitoto sasa. Unataka Wakenya wapost uzinduzi ilhali wewe unapost ujenzi. Akili kichwani basi.
Kwahiyo huoni barabara hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ruhusa kupost hata za ukaguzi. Ongeza za uzinduzi, ongeza za kutiwa sain (ila onyo, msizirudie). Tunataka kuona 11000km za barabara zenu alizosema Uhunye. Mbona issue nyepes tu ila mnalialia
Nashangazwa sana na hawa Jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ barabara wanazopost humu kila siku hazifiki nne na ni hizo hizo kila siku ndio wanapost
 
Kwahiyo huoni barabara hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wajinga ni waongo kichiz.. mbona jambo jepes tu.. imagine unajinadi una barabara 23,000km afu unashindwa hata kujitetea kwa baadhi ya posts za hizo barabara.. nilitegemea rate ya posts za barabara ya 23,000km itakuwa kubwa kuliko zetu za 12,000km
 
Unapost picha za uzinduzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzinduzi iwe na nyasi, wakati thika road inazinduliwa nyasi haikuwa imemea kama hivi,πŸ‘‡πŸ‘‡ mazingira yalikua yamearibiwa na ujenzi, idiot🀣 πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., leo nakunyonga hadi basi..,

 
Kwa mtandao wabarabara za TARURA ARUSHA imekula lami karibu kila kona, we tumia google earth tu, usijitie ujuaji utachekwa, mana huo utakua ni upumbavu kuzungumzia vitu usivyovijua.. tumia google earth ukishindwa
 
Kwa mtandao wabarabara za TARURA ARUSHA imekula lami karibu kila kona, we tumia google earth tu, usijitie ujuaji utachekwa, mana huo utakua ni upumbavu kuzungumzia vitu usivyovijua.. tumia google earth ukishindwa
Unasema Arusha CBD ama Arusha region? less than km street connectionsπŸ˜† πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,
tafuta kazi ingine dogoπŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hilo jedwal kwa chin ambalo hujapost lote ndo hii au nyingine?

what is minor road, special purpose road, unclassified roads?

 
Unasema Arusha CBD ama Arusha region? less than km street connectionsπŸ˜† πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,
tafuta kazi ingine dogoπŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nacheka mpaka basi πŸ˜‚πŸ˜‚ unakula kichapo mpaka hujui namna ya kutoka .. by the way, tunataka kuona 10k km alizodai uhunye amejenga
 

Attachments

  • IMG_20220601_093156_111.jpg
    1.2 MB · Views: 28
Hii pia ni ya serikali yenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tena fresh kabisa

View attachment 2249352
Kwani ni uongo., in 2018 tarmacked road ukilinganisha na total number ya road network ambayo ni 160,000km, not tarmacked will be slightly more than 90%., kama kwa sasa only 23,000km iko tarmacked, out of 160,000km plus., ukifanya hesabu utapata percentage ngapi? more than 86% is not tarmacked., umechunguza na ya Tanzania.., total road network vs tarmacked? yaani mko na over 90% not tarmacked in 2022., yaani unajaribu kujitekenya lakini wapi., ama ulitaka tupinge? still mnabakia kwa mkia wetu., hadi raha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Tunataka kuona barabara zenye ziko tarmacked.. zipo wapi mbona tusizione πŸ˜‚πŸ˜‚.?
 
Maelezo mengi wakati kila kitu kipo wazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo jedwal kwa chin ambalo hujapost lote ndo hii au nyingine?

what is minor road, special purpose road, unclassified roads?
View attachment 2249425
Niliweka link mkague yote kuhusu Kenya., sisi sio CCM.., niliweka section inayo onyesha total paved roads.., na kuonyesha inatoka wapi.., kazi kwako.., everything about kenya iko hapo., ukitaka ingia google earth udhibitishe, leo nawanyonga nyote πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…