Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shirikiana na wenzio vizuri, endelea pale walipoachia sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Piga hawa vilaza na facts kabisa., unawaumiza sana, usiwahurumie, wazoee ukweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nataka barabara ndefu kuanzia angalau kilometers 100, Usiniletee vichochoro
Bora yoote ni paved iwe vichochoro ama highway, tunaongelea paved 23,000km, kajinyonge kama inakuumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora yoote ni paved iwe vichochoro ama highway, tunaomgelea paved 23,000km, kajinyonge kama inakuumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na hamna barabara yoyote Kenya refu kuzidi hizi highways na ulisema highways ndio 70% made paved network πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hazifiki 3500 km πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Kama hiyo ni third world Dar itakua 6 world 😜 🀣 🀣 🀣🀣🀣., ama hautaki hii niweke google earth images, realtime 2022πŸ˜œπŸ˜†πŸ˜†., minyani roundi hii haina amani, miti yoote lazima iteleze..,
 
I can bet 70% of these roads never built up by uhuru, lakini atakuambia kajenga 11k kilometers, hivi Kenya kuna longest roads nyingine tofauti na hizi?

Hata 3500 hazifiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2248947
Yaani hizi barabara ni mwaka gani waliweka? ya Kisumu inaanzia Isbania border na inaishia border na south sudan sio kitale kilaza, kumbe hauna uwelewa, uko hovyoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜œ ya Malindi to Bagamoyo haijajengwa ama inaendelea.., iko wapi Nairobi to Busia? Mombasa to Lamu? Mombasa to Meru to Garisa? hauwezi lolote wewe., tupe facts za Tanzania tucheke., linchi likubwa fukaraπŸ€£πŸ€£πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜†πŸ˜†
 
Si ni ukweli Dar sio slum 90%.., na Tanzania sio fukara EAC yote? ama aje soja boy?
 
Mambo ya Royal tour,mchezaji wa Madrid ndani ya Serengeti πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220602-165215.png
    133.4 KB · Views: 27
Kwa hivyo short roads hazipaswi kuwekwa lami ama?
Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unafikiria Kenya ni Tanzania kila kitu ni hafla? πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† ata sikumbuki outer ring ikiwa na hafla ilipojengwa.., Red hill haikua na hafla,., yaani ujenzi mingi ya barabara Kenya haina hafla, tulizoea bana, kila kitu sio mbwembwe ama sherehe shenzi type, yaani umelemewa unatafuta vijisababu uchwara, nyambaff, jipe shughli ulcers itakumaliza mzee, usife kwa pressure bureπŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
23,000KM of paved road network in Kenya vs 11,000km in Bongolala., inaumaaa!!! πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† 😜, poleni watani sio kwa kupenda kwetu, ni Kenya ilivyo.
 
Piga hawa vilaza na facts kabisa., unawaumiza sana, usiwahurumie, wazoee ukweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikuwa unamanisha "pia hawa vilaza hawana facts kabisa?"[emoji16][emoji16]
 
Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Barabara zinajengwa bila mbwembwe ju ni shugli ya kawaida tu. Nyinyi ndio munaitaji hafla ju bado nyie ni washamba tu. 🀣 🀣 🀣
 
Sasa you guys don't trust World Bank tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] This is a reputable organization they dont publish without verification.
 
Mkuu chongchung hongera kwa kazi iliyotukuka ya kuwabana hawa wahuni.. ebu wape mfano..post barabara zote za bongo zilizozinduliwa kuanzia sasa kurudi nyuma hadi 2015.. post na distance.. kila unapopata nyingine, jiqoute afu jumlisha hizo distance..mwingine atakaekuquote asisahau kujumlisha distance
I challenge kenyans to do the same
 
Eti a president can't lie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuoneshe sasa laptops za shule nitoke hapa JF sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…