NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,283
- 19,624
You're quoting the same same thing and thinking you're making sense. He said 13M Kenyans, you're quoting tweets talking about households. You're just like them. Braindead.🚮🚮It takes a sec for a fool to undermine genious, what about [emoji116]psycho
Acha udwanzi wewe hiyo ni time iliyowekwa mtandaoni and the data could be of any past years. TIme halisi ingeandikwa ndani ya hiyo taarifa usifikiri sisi ni rahisi kutuongopea kama yule mlevi anavyowaongopea kuhusu 10k road network in 3 years.
Hivi ninyi wakenya mna matatizo gani?, Yaani kila mnalofanya kwenu mnasema ni sahihi lakini nchi zingine wakifanya kutokana na Sheria zao mnasema sio sahihi wanaichukia Kenya, mnaendelea kulialia "endlessly".KOT2 sio Kipevu oil jetty 2 bali ni Kipevu oil terminal 2 na imeshakamilika na mimi mwenyewe nilimwaga mapicha hapa. Kisha sikujua kwamba Watanzania walikuwa wanaimport lpg kutoka Middle-East hadi Tanga na Dar ports kisha wakifika Namanga border wanaendelea kulipa VAT ya zamani ya 8% badala ya 16%. Mwaka mmoja au miwili iliyopita Kenya iliongeza VAT on petroleum products kutoka 8% hadi 16%. Sasa swali langu ni Kama gesi zinazopitia Mombasa port zinatozwa 16% VAT mbona hizi za Namanga border zitozwe 8%? Aiseeh KRA ipo sawa na iendelee vivyo hivyo kusawazisha tozo katika border points zote.
Kwani anayetoza hiyo 8% Namanga border ni TRA au KRA nchi ambayo mzigo unaingia?KOT2 sio Kipevu oil jetty 2 bali ni Kipevu oil terminal 2 na imeshakamilika na mimi mwenyewe nilimwaga mapicha hapa. Kisha sikujua kwamba Watanzania walikuwa wanaimport lpg kutoka Middle-East hadi Tanga na Dar ports kisha wakifika Namanga border wanaendelea kulipa VAT ya zamani ya 8% badala ya 16%. Mwaka mmoja au miwili iliyopita Kenya iliongeza VAT on petroleum products kutoka 8% hadi 16%. Sasa swali langu ni Kama gesi zinazopitia Mombasa port zinatozwa 16% VAT mbona hizi za Namanga border zitozwe 8%? Aiseeh KRA ipo sawa na iendelee vivyo hivyo kusawazisha tozo katika border points zote.
Kwani hii reginal inaundwa na Uganda pekee, Tanzania ni tegemeo kwa nchi zote ukanda huu, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, DRC, na Kenya & kwenye LPG, Kenya zaidi ya Uganda, ni nchi gani tena zinategemea bandari yenu?Hahaha sasa Tanzania kuhandle 40% ya Kenyan lpg imports ndio inawafanya muwe regional logistics hub? What about Kenya ambayo inahandle zaidi ya 80% ya mizigo zote za Uganda? Sio lpg pekee ya Uganda bali 80% ya mizigo zote za Uganda zinapitia Mombasa port. Sasa wewe unaringa kwa sababu mnahandle 40% ya Kenyan lpg imports?
Membe na pk ni chui na pakaTulijiandaa kuingia congo kiuchumi ,tulijitolea jasho na damu amani ipatikane congo na tufadi sote .....
Huu mgogoro ukikua ni lazima tutaathirika tutapiga maktym kiuchumi miaka dahali
Kagame atarush kukamata uwanda unaopakana nae na ataweza kirahisi maada ana faida kadhaa kimedani "sasa uo uwanda ndo tumepakana nao
Hivi karibuni baada ya waziri foreign rwanda kuleta ujumbe maalum kwa samia uganda kua neutral na sisi kukaa kimya sio dalili nzuri (kenya anasubiria fursa tuuapo)
Mkiru kushindwa na leo hatimae wapo Mozambique huku tukibaki salama +figisu za ndani na nje kuhusu miradi ya kimkakati vinanipa wasiwasi!!
Kagame anatakiwa akemewe vikali tsheked akalishwe chini sadly hakuna kiongozi mwenye guts
Kwa maslahi ya kiuchumi na kiusalama hatuna budi kuingilia sasa ( mulamula anafeli bigtym
*mh raisi nakuomba mteue membe kama mjumbe maalumu ataeshughulikia mgogoro huu wa rwanda na congo kwa maslah ya taifa la tanzania
Vita vinanukia sana
Uganda tuna handle 22%, DRC 74%, Zambia & Malawi 80%, Rwanda na Burundi 95%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mizigo ya Uganda nyie mnahandle chini ya 10%. Mizigo ya Kenya nyie mnahandle chini ya 5%. Rwanda na Burundi ni nchi ndogo sana hazina mizigo mingi. Mizigo ya South Sudan nyie mnahandle chini ya 5%.
Wrong i didnt mean to write it in english, i like to write it that way called (kiswaenglish) i see you try to find a bush to pee there[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Did you mean to say "puppy"? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiacha hz broken za mitandaoni unazoongea ni upupu tu uliojaza kichwani, hamna kitu kabisa wewe mkalee, yn kwa akili zako fupi unataka kulinganisha Tz na Kenya kwenye suala la maji huoni haya?Kichapo gani bongolala wakati umeshindwa hata kuleta data ya nchi yako kuhusu water accessibility? Are you going nuts? Leta data ya nchi yako ndo uje utoe povu dwanzi wewe
Wacha kuwa mkaidi yani nchi ina port yet neighbour ana assist by 40% of LPG impotation ? Na bila haya unalinganisha na iyo landlocked countryHahaha sasa Tanzania kuhandle 40% ya Kenyan lpg imports ndio inawafanya muwe regional logistics hub? What about Kenya ambayo inahandle zaidi ya 80% ya mizigo zote za Uganda? Sio lpg pekee ya Uganda bali 80% ya mizigo zote za Uganda zinapitia Mombasa port. Sasa wewe unaringa kwa sababu mnahandle 40% ya Kenyan lpg imports?
Maumivu yakizidi pata ushauri wa dactari,[emoji16][emoji16][emoji16]You're quoting the same same thing and thinking you're making sense. He said 13M Kenyans, you're quoting tweets talking about households. You're just like them. Braindead.[emoji706][emoji706]
Wacha ujinga. Tanzania hii ambayo ni one-party dictatorship? Nyie hamna demokrasia bali mna one party dictatorship. Ona mnamfunga jela Freeman Mbowe wa upinzani kwa madai ya Ugaidi. Mnampiga marisasi Tundu Lissu wa upinzani. Halafu David Ndii sio Mungu. Kuna mambo nakubaliana naye na kuna mambo sikubaliani naye.Mimi ninsmkubali Sana David Ndii toka zamani bila kujali mrengo wake wa kisiasa, huo upumbavu wa kuegemea mirengo ya kisiasa sisi huku Tanzania sio tatizo kubwa Kama ilivyo huko kwenu, hapa nimezungumzia Rutto na Raila na nimewaweka kundi Moja japo wapo pande mbili tofauti za kisiasa.
Jambo Moja ambalo linanisumbua Sana Kenya ni jinsi ambavyo hamtumii akili zenu katika kufikiria badala yake mnavutwa zaidi na ukabila, ukanda au vyama vya kisiasa. David Ndii ni miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa Sana wa Elimu na akili ya kufikiria mambo, lakini kila anapotoa maoni yake, badala ya kujadili kile alichokisema, ninyi mnapinga kwa misingi ya mirengo ya kisiasa.
Huku Tanzania wakati wa kipindi cha Magufuli, ninyi wakenya mlikua mkisema tulikua tunaunga mkono CCM, Kuna wakenya wapumbavu walikua wakisema wote waliokua wakiunga mkono utawala wa Magufuli ni "CCM die hard". Hivi Sasa walewale waliokua mliokua mkiwaita CCM die hard", wanaipinga CCM mnawaita "Sukuma gang". Hii ni kuonyesha kwamba, Tanzania hatuna huo ujinga wa kufuata mirengo ya kisiasa Kama huko kwenu, tunachofuata ni vitendo na akili ya mtu husika.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wivu itawauwa hehe but that's what he said himself (uhuru) he said in his first term which ended 2017 he built 3km the rest his second term what's hard there to understand ama Ni wivu unawauwa... Do you think he can lie like that on national television bearing the fact that it's close to election and if he lies the opponent's are there to discredit ??? Where we have done well sometimes be gentle men and say good job si kupinga Kila kitu kamamachizi with roads we double you and it's a fact just say hapo tumekubali iishe kama wangwana utoto was kupinga Hadi data iko Ni ujingaKagombaneni na WB 😅😅😅
Leta evidence nitoke JF. Hususan madai yako ya Uganda, Rwanda na Burundi ni uongo mtupu. Hata ya DRC ni utopolo.Uganda tuna handle 22%, DRC 74%, Zambia & Malawi 80%, Rwanda na Burundi 95%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii Ni utoto mko nayo kupinga facts Ni ujinga inaonyesha we debating Na watu si wangwana. A president can't lie on national television Kwanza days to election that will be used to discredit his choice raila.. with road nayo Ni mingi Sana Hadi wasasa zinaendelea kujengwa everywhere in the countiesIkiwabana waonyeshe barabara wanakimbia . Hawana hata barabara hata moja ya 1500km hatafu watakuambia wana barabara zenye urefu wa 23k
Mko 12k tuko 23k and Kenya Ni ndogo kuliko Tanzania. In the roads part wacheni tu. It will be foolish coz mtakua tu mnapinga facts kama waschana Wana wivuHii ni report ya 2019
Km of roads network in Tanzania. Kwa sasa tudeal na paved roads tu
TARURA (district roads) = 2,250.69km
TANROAD (Truck & Regional) = 8,671km + 1,808km
Total of paved roads = 12,729.69 km mwaka 2019
View attachment 2247537View attachment 2247538
Unauliza swali au unajibu swali?Kwani anayetoza hiyo 8% Namanga border ni TRA au KRA nchi ambayo mzigo unaingia?
Kama mlifuata sheria zenu zinazosema mchome vifaranga basi ni sawa. Ila huo sio ubinadamu. Vifaranga ni viumbe hai na kuvichoma kunaonyesha ni jinsi gani nyie mna unyama na ukatili.Hivi ninyi wakenya mna matatizo gani?, Yaani kila mnalofanya kwenu mnasema ni sahihi lakini nchi zingine wakifanya kutokana na Sheria zao mnasema sio sahihi wanaichukia Kenya, mnaendelea kulialia "endlessly".
Sheria ya Tanzania ya kudhibiti magonjwa ya wanyama inasema waziwazi kwamba," Wanyama au ndege wazima "Live animals and birds" wakiingizwa nchini bila kufuata taratibu zilizopo, lazima wateketezwe. Tanzania tulipochoma vifaranga kutoka Kenya, hadi Leo bado mnaendelea kulia. Huwa ninawaita ninyi wakenya ni "Crying baby syndrome", kwamba wakati wote ninyi mpo sahihi na wengine wako "wrong" [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app