Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It takes a sec for a fool to undermine genious, what about [emoji116]psycho
 
Hizo dual wheels gharama yake ikoje? Ngoja muda ukifika tutajua ila ninaamini feasibility study itashauri Cape Gauge kama mradi utatekelezwa chini ya Mtwara Development Corridor!
Mimi naona tujenge tuu sgr maana baadae tungependa kuwe na mtandao wa sgr seamlessly mpaka sumbawanga mpanda kigoma along lake Tanganyika. Hapo mbeya kwenye cape gauge ndio tuweke marshalling yard ya mizigo btn cape gauge na sgr
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Hao unaoona wanalia humo wengine ndio hawa tupo nao humu ndani, wakiwa humu wanabisha kila kitu ila wakiwa twitter wanalia, usije kukuta huyo anayelia hapo ni nicxie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani tujenge sgr tuu ikifika Zambia ndio itumie cape gauge ni configuration ndogo tuu ya wheels. Zipo dual wheels ambazo zinaweza kutumika kwenye gauge zaidi ya moja.
Hizo nchi pia itabidi ziwe na angalau mabehewa machache yakuweza kutumika kwenye gauges zote mbili. Sasa hii itaongeza gharama kwao isiyo na sababu, na biashara itatudodea.
 
Hahahaha, nimesoma hakuna lolote limeandikwa kuhusu Universal health coverage katika hii link uliyoweka, zaidi inazungumzia Mambo tofauti tena ya zamani Sana 2011.

By the way, umeachana na maji na umerukia ya Afya?. Ngoja nikuelinmshe kidogo, katika kulinganisha, lazima utumia "one source, and the same year. Wewe ulitumia UNICEF, ilipaswa kutumia hiyo hiyo kulinganisha Kenya na Tanzania, Sasa iweje tena unataka Mimi nitafute hiyo "Source" yako ya UNICEF wakati sijui wapi umeipata ili nikupe data za Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Kenya’s plan to seize LPG logistics business from Tanzania​



THURSDAY JUNE 02 2022​


A truck ferrying liquid petroleum gas. There has been a snarl-up of trucks at the Kenya-Tanzania border town of Namanga following an impasse on clearing trucks. PHOTO | FILE | NMG

​

Summary​

  • The LPG cost in Mombasa is much higher than in Dar es Salaam LPG because the offloading and storage infrastructure at Dar es Salaam or Tanga ports is more efficient.



By The East African
More by this Author

Kenya seeks to dominate in the supply of liquefied petroleum gas (LPG) by constructing the biggest import and storage gas facility in Mombasa and licensing more private companies to compete with Tanzania which has dominated the business for years in the region.

The announcement to construct a 25,000 tonnes storage facility by the Kenya Pipeline Company (KPC) which will connect to the Ksh42 billion new Kipevu Oil Terminal 2 (KOT) at the port of Mombasa comes few days after Kenya banned imports of gas from Tanzania through the Namanga border.

KPC has contracted a giant Pakistani firm; Petrochem Engineering Services to design LPG import and storage facility in Changamwe, Mombasa as five private companies apply to tap into the new Kipevu Oil Terminal 2.

The facility in Mombasa once completed will quicken the loading of cooking gas for distribution by trucks which will help to cut demurrage costs.

KPC says faster loading is expected to translate to lower prices for LPG by 30 percent once operational as oil marketing companies pass the benefits of reduced demurrage costs to consumers.

“LPG storage capacity in Mombasa is limited and huge demurrage is incurred by LPG ships thus affecting the final consumer price of bottled gas,” read part of KPC in tender documents.

“KPC proposes to install, commission and operate a 500 tonnes per day LPG truck loading facility which will enhance product evacuation and as such ease ullage constraints and subsequently reduce demurrage costs.”

Limited LPG storage capacity in Mombasa has meant that ships stay longer at the port, leading to higher demurrage costs which are then transferred to consumers thus paying high prices of bottled gas.

KPC currently receives imported LPG from ships berthed at the Shimanzi Oil Terminal and puts it into its tanks - T610 and T611 located within its Changamwe facility the product is then evacuated to local terminals through inter-connecting pipelines for truck loading and bottling respectively.

The lack of loading gantries for truck loading has been a challenge to gas companies and the facility once complete will allow companies to ferry gas in trucks which has proved to be economically viable.

With the completion of KOT2 with a capacity to connect different gas suppliers, the business which has been controlled by a few companies will end the monopoly as already five companies have applied to connect to the terminal at the port of Mombasa.

According to National Environment Management Authority (Nema) and Energy Regulatory Authority (ERC), more than five companies have applied to get license from to construct gas facilities.

Some of the companies which have applied for the license to tap in the submerged gas pipeline from KOT2 include Aevitas Investment, Mombasa Gas Terminal Limited (MGT), Lions Gate limited, Focus Container Freight Station and Mansa East Africa Limited.

Once licensed, they will cater for the untapped LPG market with the increasing population and demand in the country and in the East African region.

Kenya imports about 40 percent of gas annually from Tanzanian liquefied petroleum gas (LPG) firms via the Namanga and Holili border posts and the remainder is imported through the Port of Mombasa.

The LPG cost in Mombasa is much higher than in Dar es Salaam LPG because the offloading and storage infrastructure at Dar es Salaam or Tanga ports is more efficient.

Early this month, Kenya started crackdown on gas importers from Tanzania as the country’s revenue authority Deputy Commissioner for Revenue and Regional Coordination Joseph Kaguru disclosed that the traders have been paying Value Added Tax (VAT) of eight percent instead of 16 percent.

Mr Kaguru added that the traders are shipping in the commodity from the Middle East and using the Namanga border point to pay lower taxes under the pretext they are sourcing it from Tanzania.


With the ongoing crackdown, Kenya is now is heavily relying on the new KOT 2 jetty project owned by Kenya Ports Authority (KPA) to open up the market, promote competition and to increase LPG consumption and reduce prices to citizens.

The new KOT2 project includes a dedicated berth and pipeline for LPG, which will now allow for larger vessels to call at the port of Mombasa promoting economies of scale and reducing handling costs drastically.

akitimo@ke.nationmedia.com


MY TAKE
Another white elephant infrastructure at Mombasa port manifests itself! Ati Kipevu oil jetty 02!? Kipevu oil jetty my foot, make it KOJ 100..!!
CC: Tony254
 
Majority of Kenyans wamekubali Uhuru amejenga barabara. Wewe unapinga na tweet moja na hata hauko kwa ground. Sisi ndio tunatumia hizo barabara.
Kati ya wakenya waliokubali Raila Odinga sio miongoni mwao, yeye anasema sio kweli kwamba Uhuru Kenyatta amejenga hizo Barbara Kama alivyoahidi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Amehama kwenye maji kakimbilia kwenye afya baada ya kichapo kikali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa ndo pale zile investment za Equity bank na KCB Bank zinapoanza kumea magugu!









CC: Tony254
Tulijiandaa kuingia congo kiuchumi ,tulijitolea jasho na damu amani ipatikane congo na tufadi sote .....
Huu mgogoro ukikua ni lazima tutaathirika tutapiga maktym kiuchumi miaka dahali
Kagame atarush kukamata uwanda unaopakana nae na ataweza kirahisi maada ana faida kadhaa kimedani "sasa uo uwanda ndo tumepakana nao
Hivi karibuni baada ya waziri foreign rwanda kuleta ujumbe maalum kwa samia uganda kua neutral na sisi kukaa kimya sio dalili nzuri (kenya anasubiria fursa tuuapo)
Mkiru kushindwa na leo hatimae wapo Mozambique huku tukibaki salama +figisu za ndani na nje kuhusu miradi ya kimkakati vinanipa wasiwasi!!
Kagame anatakiwa akemewe vikali tsheked akalishwe chini sadly hakuna kiongozi mwenye guts
Kwa maslahi ya kiuchumi na kiusalama hatuna budi kuingilia sasa ( mulamula anafeli bigtym
*mh raisi nakuomba mteue membe kama mjumbe maalumu ataeshughulikia mgogoro huu wa rwanda na congo kwa maslah ya taifa la tanzania

Vita vinanukia sana
 
andika vizuri basi, hata hueleweki ulichoandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…