Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We will use the same UN reports to analyse each item separately[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Don't run away from the reality, apart from theoretical(academic rankings), like GDP, HDI and others, majority of Kenyans are living in very bad and humiliating lives.

South Afrika scores very high in Africa on HDI and per Capita, but only 15% of the population owns almost 80% of GDP, but theoretically/academically shows that they have high HDI and per Capita, this is exactly what happens in Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huna lolote wewe usitake kujipiga kifua hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko na akili, something that you don't have
 
Weka ushahidi Kama aliachiwa, vipi kuhusu Miguna Miguna?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aliachiliwa hata alihojiwa tena, Kenya huwezi fungwa without trial. Huyo jamaa yuko popular na alirudi hustle yake ya activism hapo CBD. Miguna ni kiburi tu akonayo, akitaka kurudi hata sahii anaweza, bora tu afwate maagizo kama wengine walivyofwata. Hata yeye picha zake ziko na hakuna mtu anasumbuliwa ju ya hio.

 
Treasury hapa inaonesha shillings ngapi? 😂😂😂😂

View attachment 2247905
Barabara zingine ni rural roads na bei iko chini kushinda ya urban road na highways. Sasa wazimu kama wewe ndio hajui kwamba barabara hugawanywa in different classes. Class A,B,C,D, na E. Class A being the most expensive na E being the cheapest.
 
Kwnn unaficha mwaka wa hiyo habari? Dar kwa sasa haina uchafu mzee, uchafu kama huo tumeiachia ka Nairobi, unapost picha za 90s ili kutaka tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha ya 90s na naona mwaka ni huu...unataka kukana hata iliopo mbeleni[emoji23][emoji116]
 
Kwnn unaficha mwaka wa hiyo habari? Dar kwa sasa haina uchafu mzee, uchafu kama huo tumeiachia ka Nairobi, unapost picha za 90s ili kutaka tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kufanana bado nairobi ii mbele kushinda dar
 
Tunaongelea habitable area ni ndogo kama Rwanda na hizo 10k road network mmezijenga wapi kwenye hako kasehemu mnapoishi.
Kwa hivyo leo hii Mtanzania anakubali kwamba sehemu ndogo ya Kenya ndio habitable? Sasa mbona huwa tukisema kwamba Wakenya wanaishi katika 25% ya ardhi yao huwa mnapinga? Hususan hawa watu coodip1 Geza Ulole chongchung
Kwa hivyo kama hatutumii 75% ya ardhi yetu vipi tumewashinda kwenye kila kitu? Hamujisikii aibu kushindwa na watu wasiotumia 75% ya ardhi yao kiuchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…