Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kelele yako haitasaidia kutoa hio sewage hapo.
 
Kwa hivyo umekubali CBD yenu ni ndogo, ukiingia umetoka. 🤣 🤣 🤣 🤣
ww ni mjinga wa aina yake kwani ni lazma ofisi ya mkuu wa mkoa iwe CBD au umekariri maisha 😂😂😂😂

narudia kukwambia hakuna CBD kubwa na yenye density ya kisawasawa kama ya dar in east and central africa 🤣🤣🤣
 
Kwahyo mnawazidi Egypt, Morocco,Algeria,Nigeria kwa paved roads? You must be a fool
 
Hahahaha hawa mbwa aisee waliiweka humu hii picha waki claim ni xpress way ya mchina kumbe waliiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana ehh... Leo kwenye pita pita yangu nikakutana nayo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka kiseng*
 
It's freaking 5km away. We jamaa vipi? Leo umeamka na chang'aa kichwani au frustration hizi??? Dah
Eti 5km away 🤣 🤣 🤣 Hata mkijitetea aje, mutatuambia mbona mkona maji ya sewage nje ya offisi ya mkuu wa mkoa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…