Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ati longest dual carriage in East and central Africa? How about Dodoma 110 km ring road? Wacha upumbavu! kwenye reli, meli na ndege hamtugusi hata kidogo!



 
Hakuna kitu chaajabu umeweka hapa brathee, umetoka kwenye street level umeweka Arial view πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hapo chini uharo ni uleule
lazima kieleweke... basi hii video.. narudia tena, itamaliza debate. heb tujadili baada ya kuutazama huu kanda. thank u πŸ‘‡πŸ½
 
ati longest dual carriage in East and central Africa? How about Dodoma 110 km ring road? Wacha upumbavu!



Yetu inakamilika mwaka huu yenu itakamilika 2025. So yetu itakuwa longest kuanzia mwishoni mwa mwaka huu hadi 2025.
 
Ubaya Museveni katanngaza kubaki neutral maana yake mapatano na Uganda hayajamsaidia kupata usaidizi!
Neutral ya mu7 ni nzuri kwa pk,imagine wakati wapo kwenye mzozo then updf wakakutana na rdf kwenye misitu ya congo,kupatana na mu7 ilikua mkakati wake wa kupigana na congo tu kwenye hii vita
 
Over 31,000 vehicles use the Nairobi expressway everyday~Cs Macharia
View attachment 2246245
Seriously? A week ago on 23 May only 23,000 cars used expressway in the last 7 days and now the same guy is saying 31,000 cars a day.



In my opinion, it's a big fat lie. Naona wanatafuta Kenyans Approval ya kutumia more funds ya kuongeza exit to CBD. Hapo wana wapa hope kuwa expressway inalipa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
joto la Jiwe, these are challenges we are facing as a country and we openly talk about them. We don't hide anything, and that's something in us as Kenyans. We don't talk about them under the table like you do in your country for the fear of being reprimanded. Tanzania is a Third World country and faces the same problems we are facing, the only difference being that you can't come out and openly talk about them openly like we do.

It should even worry you that despite the problems we are facing like the ones highlited in that video above, we still score high in HDI and many other important indicators than you. But as usual, you'll go lamenting and disputing such data simply because they do not massage your ego as Tanzanians.

We have a bigger population of unemployed youth but these people are creating their own employment through start-ups. Again, when I share data showing Kenya scoring ahead of your country in start-ups, you'll again dismiss such information saying it doesn't reflect the actual thing on the ground. But everytime the same organisations place your country ahead of Kenya in anything, you go become excited and hit-the-ceiling about it. That's the level of double standards in this forum and there's nothing we can do about it. We can only say, "have your way" as long as it pleases you.
 
SGR Isaka-Keza-Kigali ndo bye bye hivyo! Thanks to unpredicable Kagame katoka kugombana na Museveni saahii yupo na Tshisekedi!
Huyu huwa haaminiki kabisa sijui yukoje,sasa M7 atakuwa bado ana mpango wa kujenga kuipeleka kwake?Maana alikuwa aichukulie hapo Keza huku ikitokea Isaka.
 
hizi ni streets au highways?? siku utapata streets kama hzi nitag mm nifunge acc sasa hvi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ushamba ni laana kaka ichoboy01 πŸ˜‚πŸ˜‚, unajua maana ya highway? Sasa hizi zote ni highway? alafu unalinganisha na kijiji la washamba eti Mwanza., tofauti iko wazi mbona ung'ang'ane na ni aibu tupu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hizi pia ni highway? na zinaelekea wapi? Now these are streets, avenues or boulevards., lishamba. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ siku ile Tanzania will have a city kama Dar outside Dar kama utakua hai kwa vile itachukua miaka mingi sana, kindly nitag, usiogope, ata ukiwa umezeeka, usisahau













 
Jamaa ni msumbufu sana hujui kesho atasema nini au ataamua kitu gani hata kama kuna makubaliano yapo mezani. Asipoangaliwa kwa umakini ataleta usumbufu mkubwa kama usemavyo.
 
Ata ground tukifanya forensic audit Tanzania ni aibu sana.., even just looking through google earth across kenya and Tanzania to see what is physical on the ground, Tanzania has a poverty look kwa urefu na upana, taifa lote, hapa hakuna argument, the guy is pained tu. Blind patriotism ni issue hapa. Ni ile our issues are publiized so they think they are better off, lakini worse! Poverty index report ilitoka, wamelamba sakafu tena, poorer than Kenya, I need to drop it hear, nilisoma performance ya EAC, Kenya has improved!
 
Kaitaba Bukoba na Azam Complex Chamazi hivi haviko kwenye viwango vya kuhost Afcon,au seating capacity yake ni ndogo sana mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…