nani anaongea kishabiki au kipi nisichokijua mombasa ??π€£π€£ mombasa ni mji wa ovyo kabisa yani hauna hadhi ya kuitwa city mark my words, ukweli ni mchungu lakini vumilia bro, mji hauko hata kwenye modern cities, mji uko vile vile miaka nenda miaka rudiUmeongea kishabiki sana. Mwanza ndio mji wenu wa pili kama ilivyo Mombasa huku kwetu. Hebu nitajie maendeleo ambayo ipo Mwanza haipo Mombasa kwa sababu nasikia Mwanza nayo ni 'jiji'
mm nakuonesha streets ww unanionesha highways bro ?? hvi akili yako iko sawa au uko maji?? ππππblah blah blah as always ambazo hazisaidii. Mwanza yenu is still in diapers View attachment 2246134View attachment 2246135View attachment 2246136View attachment 2246137View attachment 2246139View attachment 2246140View attachment 2246141View attachment 2246142View attachment 2246143View attachment 2246153
acheni upuuzi π€£π€£πππUnataka uone nini ndio ujue iko modern? What defines modernity?
Hili si soko Kunyaland bali ni supermarket!acheni upuuzi π€£π€£πππ
View attachment 2246267
Umemzidi nani we nyan'gau π²Umeona huu mziki huwezani nayo ukaamua kuchange gear hewani π π π. Sasa toka leo ujue kwba swala la residential areas tumewaacha mbali sana wala usiguze tena
Ujinga wa Victor Namani huwa ananivunja mbavu sana kwa lufudhi yake na yule mdada ambaye huwa anavaa jacket la Polisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenyan comedians are bad pipo.! a TRUE replica of John pombe maguful.. hivi nimecheka kuruka[emoji1787][emoji1787] View attachment 2246276
We are not talking about size here, we are talking about uswazi zilizokaba Dar koo hadi haipumui. Hizo sehemu zote imetaja ni uswazi and there are many moreHee kwanini utaje maneo yote hayo, wakati two districts of Dar es Salaam ar bigger Γ2 to NAIROBI .. Kinondoni District inatosha kuilaza chali kanairo
Hii ni kaunda suti matata sana ,hainaga dogo kwenye hali ya hewa, hali zote inapiga kote kote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mabati house kukiwa na baridi unakoma na baridi na kukiwa na joto pia unakoma na baridi . Halafu mwizi hapo anakuja na nyundo tu kuchukua anachotaka
Me nasemaga kila siku "afadhali nilikuwa nimeshakula "huchelewi kurudisha chenji, mpaka miguu inatekenya kwa kinyaa [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]Kuna nchi ila kunya hapanaaa ni mafiiiii
Hiyo choo ni yakulipia jamaniii[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2246225View attachment 2246226View attachment 2246227View attachment 2246228
Taarifa za miaka mitano sasa! Kubalini uswazi ni donda sugu Dar bongolala. Hebu leta hizo picha za real estate tuone πUmemzidi nani we nyan'gau π²View attachment 2246275View attachment 2246277 wanafunzi wanalala pazuri kuzidi ukoo wenu wo
Labda umemzidi nyanya ako!π
wacha ku-cram kukiwa na joto unakoma na joto pia! Kitu ni heat conductor!Hii mabati house kukiwa na baridi unakoma na baridi na kukiwa na joto pia unakoma na baridi . Halafu mwizi hapo anakuja na nyundo tu kuchukua anachotaka
nilisema mm toka mwanzo hichi ni kibiriti cha mchina na joto lake litawaunguza zaidi ya miaka 50 π€£π€£π€£π€£
Hizi ni dalili za kuzidiwa. Hakuna picha hata moja nimepost ya highway. Picha zote nimepost ni za Mombasa cbd and this is one of them. Is this a highway?mm nakuonesha streets ww unanionesha highways bro ?? hvi akili yako iko sawa au uko maji?? ππππ
hebu tazama hii video plz π€£π€£ππ
Mkuunduguyako nini...Taarifa za miaka mitano sasa! Kubalini uswazi ni donda sugu Dar bongolala. Hebu leta hizo picha za real estate tuone π
Always resorting to senseless abuse whenever you run out of ideas. Bongolala, nimekuuliza upost picha za hizo real estate aka dreamhouses tuone. Matusi hataondoa uozo wa jiji lenu.Mkuunduguyako nini...
Nikiwa na laki apo nairobi c ntaishia kwe mabati fullsuti aka slum wkt nkiwa bongo nakutana na chumba kizuri au hata nyumba kabisa unajua ni kwa nini? Sababu zipo chache nairobi kwa kifupi ligi ndogo !!