Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeandika kwa maumivu sana, ukweli unakera aise, sijawasingizia mimi, ni matokeo ya utafiti, zoea mtapona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana siyo maumivu nimeelezea jinsi ilivyo kaka ,sema wewe ndio uliamua kutuhukumu kwa kutusemea mbovu wakati siyo kweli bwana [emoji846][emoji846]
 
Yeye mwenyewe anajua fika chicken consumption in Tanzania ni 36% Uganda 6% and Kenya 3% hapo hakuna mjadala mzee.
 
ie. its Google Trends from Google themselves..
this statistics were directly sourced from Google Inc. Hq. in Mountain View, San Francisco. Ca. USA
Hakuna kitu kama hicho, Kenya ndio ina fuatilia zaidi Tanzania kuliko hata nchi yao, angalia tu kwenye maneno yenu ya mitaani mnayoongea 90% yametoka Tanzania

Mfano wa misimu ya Tanzania inayotumika Kenya

Kimeumana
Tuma na ya kutolea
Utajua hujui
Huendi Mbinguni
Tanzania sihami
Kwa ground vitu ni tofauti
Hapa Kazi tu
Utajibeba
Hunipangi (hatupangwingwi)
Nk

Hii ni ishara inayoonesha mnafuatilia sana Tanzania, huku Tanzania ikiwa haina influenced by Kenya kabisa, sio miziki wala Maigizo, hakuna mtanzania anaemjua mwanamziki wa kenya wala muigizaji huko mitaani.
 
Hapo sijaelewa kitu hiyo barua yote ndefu sijapata content yoyote bora ungeandika kijaluo tuu uachane na lugha za kitumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We muuza dagaa ebu ona hapa[emoji116][emoji116] Alafu hii jana tuu huko njombe joto linashukaga mpaka 4 degrees

Huwa nacheka sn wanaposema ka Nairobi kana baridi, Tz kuna baridi mpk barafu maeneo mengi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa wenzetu Duu, hapana aisee...

Mkuu Kenya ni chafu mno, maeneo mengi karibia over 99% ya Kenya nzima ni pachafu, sehemu iliyo safi Kenya ni ikulu pekee japo pia kuna slums pembeni ya ikulu. Ofcz Kenya na Nigeria ndio nchi chafu zaidi Afrika na pengine zimo kwenye top ten ya dirtiest countries in the world.
 
Ukweli mchungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Nchi yenye higher altitudes than Kunyaland inaweza kubishiwa! Kuna sehemu inaitwa Lushoto ni bomba na massive zaidi ya kilimuru!
Zio Lushoto tu hata Handeni pia.

Mimi niliishi maeneo ya Amani hadi Kwamkoro, Misitu iliyo kule huwi ona kokote huko kenya na ni nyanda za juu hasa maana jua huonekana nadra sana na si kali na maji ni baridi from january to december ila kuna mvua kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…