Itakuwa safi sana hapa.
Hakuna muwekezaji Africa wakufanya uwouwekezaji zaidi ya China...Tufanye sisi wenyewe kwa kuanza kidogodogo...Kwenye reli ndokabisa... Tunadanganyana tu...
Expressway kibaha - morogoro inakuja
Lot 4 mda sio mrefu tunatia kalamu
Cheki before you upload hizi photo..si ubonyeze kwa preview then post...naona hazitokei poa..TARURA wanaendelea na Kazi ya kufungua Nchi Dodoma π
Mbona ukaenda mbali kaka tuusan ππ, ungetumia mfano wa sehemu mingi tu in Kenya to pass your disatisfaction na Tz, Kenya kuko very organized in East Africa, licha ya mapungufu yetu..,Kwahyo Watu wa mipango miji hawawezi kabisa kufanya kazi kama hii? Sijaona cha maana kwenye suala la mipango miji kwenye miji yetu mingiView attachment 2244209
Pale walijipanga mapema...hawawez tena kurudia makosa...dodoma is doing wellDodoma will save face., am liking the organization ya pale, hope wa maintain the trend, tatizo ni watu kukimbilia kule kutafuta fursa za maisha na hawana uwezo!..,
Dangote mchina?No
Hakuna muwekezaji Africa wakufanya uwouwekezaji zaidi ya China...Tufanye sisi wenyewe kwa kuanza kidogodogo...Kwenye reli ndokabisa... Tunadanganyana tu...
Juja road inayoingia CBD ya ka Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Over 90% ya ka Nairobi inakaa hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]Sasa hii Dar mnayoshabikia hapa ndio haijapangika mwanzo mwisho
Anapenda Michezo jamaa..Mtu ataekuja kuwa Rais na kuja kuinvest massively kwenye viwanja vya michezo mim naona ni Majaliwa tu [emoji28]
sijui kwann lkn naona yey (endapo akiwa Rais) atafanya vizur sana kwenye miundombinu ya michezo
Hii ni nyingine sio?
Tony254 Hujawai jua the 3 reason as to why mtu anaeza kuchukia..ni as follows...You Threaten Them 2. They Hate Themselves 3. They Want to Be Like You.
Nilikuwa nacheka sn nikiona wakunya wanajilinganisha na Tz kwenye mtandao wa lami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna hii habari hapa...Tanzania na Lesotho tunafanya vizuri kwenye road connectivity kwa 15% na Lesotho 24%...
Hilo jambo la kuunganisha mikoa na wilaya ambalo hua tunalizungumzia humu na jamaa zetu wanaona kama tunacheza ila sasa manufaa yake yameanza kuzaa matunda
Sikuacha na report ya kenya...labda mtuambie izo 10k kms ambazo Uhuru aliplan kujenga mmefikia wapi na kwann msiongoze kwa connectivity kama Tanzania na Lesotho???View attachment 2244367View attachment 2244368View attachment 2244369
Na nyie ndio mlipanga hayo mauaji sababu hamkutaka mombasa irudi kwa wenyewe. Mkaona bora kuchinja watu.Hii Zanzibar ina historia tatanishi sana. Waarabu walikuwa wanawatumikisha Waafrika kama watumwa kwa Karne nyingi. Kuna huyu Mjaluo kutoka Uganda kwa jina la John Okello alikwenda Zanzibar na kuwachinja Waarabu sana. Hii historia hatukufunzwa shuleni. Nimekuja kuisoma juzi tu humu mitandaoni.
View attachment 2244268View attachment 2244269
Waarabu wengine walitorokea Ughaibuni na mmoja wao ni yule ambaye alishinda Nobel prize in literature.
Cc joto la jiwe
Yes Bashe ni Good Choice in terms of hardworking na kuwa na misimamo..hata mm ntampa kuraAkipita huyu mzee naamini lazima akupe shavu mana unampigania sn, all in all he deserves to be our upcoming PURT, baada ya Majaliwa aje Bashe cjali asili yake, tupa kule cz ana uwezo na anamkaribia JPM kdg, nasema kdg mana kwa hapa Africa hakujawahi kutokea Rais mwenye uwezo mkubwa kushinda JPM.
Hii obsession ni kali π π π π πi truely concur with your take..
And as much as they seem to hate us by their actions and words, but deep inside their hearts they realy adoreβ€ and admire us.. we are realy giving them headache, BP and ulcers everyday...
And just to grace your point with a fact.... here is an example ππ½
On the Continental Level, as much as kenyans wastin' their bundles on doing research bout south africa.. our southern tanzanian brothers and sisters are very busy digging in, wanting to knw more bout this beautiful country known as kenya +254 π°πͺ ...ππ½ View attachment 2244449
And now on the International Level... kenyans we are busy wanting to know more about the mighty USA, whereas our southern neighbors, are still consistently obsessed with this wonderful country +254π°πͺ...ππ½ View attachment 2244450
Jua kali type [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]construction of an ultra modern fish market at Karai, Naivasha.
View attachment 2244414View attachment 2244415View attachment 2244417
π€£kali sana mzee.......Hii obsession ni kali π π π π π