Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SCAM.!!
kumbe humu ndani kuna magwiji 😆😆.. aisee watanzania... nani kafanya vile.. this is a seasoned cyber criminal..!!
👇🏽👇🏽😆😆
Screenshot_20220529-145749_Photos.jpg
 
Hawa wakunya mbona ni wapumbavu sana, kwnn wanaogopana namna hii?
Wakunya tunaobishana nao humu hawa ndio hivyo tena hatuna jinsi ndio washakua majirani zetu tuendelee tu kuishi nao tu huku wakiendelea kujifunza toka kwetu lakini ni mazezeta wa kushangaza!imagine mtu anatunza tiketi ya ndege ya miaka ya nyuma ili tu alingishie alipanda ndege!sidhani kama kuna Mtanzania ataweza kufanya kitu cha kijinga kile
 
Wakunya tunaobishana nao hawa ndio hivyo tena hatuna jinsi ndio washakua majirani zetu tuendelee tu kuishi huku wakiendelea kujifunza toka kwetu lakini ni mazezeta wa kushangaza!imagine mtu anatunza tiketi ya ndege ya miaka ya nyuma ili tu alingishie alipanda ndege!sidhani kama kuna Mtanzania mwenye za kijinga za hivyo
Hahaha.
 
Wakunya tunaobishana nao humu hawa ndio hivyo tena hatuna jinsi ndio washakua majirani zetu tuendelee tu kuishi nao tu huku wakiendelea kujifunza toka kwetu lakini ni mazezeta wa kushangaza!imagine mtu anatunza tiketi ya ndege ya miaka ya nyuma ili tu alingishie alipanda ndege!sidhani kama kuna Mtanzania ataweza kufanya kitu cha kijinga kile
Usimsahau babalevo...anaakili ya kuufanya ivo kwanza akibahatika kutoka nje ya danganyika kuelekea ughaibuni...Sishangai ata akiweka fiche kuwaringia nyie msiosafiri..
 
Mtaongea yote,mara mkunya mara mzenji mara anajifariji and such upuuzi..

CAG amekubari shoo wewe kenge wa mbagala ni nani hadi upinge?

Kazi inaendelea 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-144941.png
    Screenshot_20220529-144941.png
    97 KB · Views: 17
Rais uhuru akikagua silaha zinazoundwa humu nchini na wakenya wenyewe waliohitimu,ebu mtuonyeshe kiwanda kimoja cha kutengeneza silaha kwa ajili ya majeshi wenu.Rais anaakili sana,ameliona hili haja ya kuagiza na kununua nje ji gharama kali sana heri tuzitengeneze na tukitumie kisha kuanza kuziuza kwa majirani .Hili litaleta fedha nyingi mauzo yakianza Ethiopia,s.sudan,somalia,ug,rwanda hata tz
EyddWVCWUAMHXWx.jpg
images-2021-04-08T214832.606.jpg
huhwfnizefu0cpw85f8a0452bba82.jpg
mzynofyn3barm0er606f3addc0e3e.jpg
 
Huku ndiko Samia anapata pesa..

Kampuni ya Madini ya Busolwa Mining ya Misungwi yalipa Kodi Serikalini zaidi ya sh.2 bln 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-144114.png
    Screenshot_20220529-144114.png
    152.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220529-144224.png
    Screenshot_20220529-144224.png
    46.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220529-144302.png
    Screenshot_20220529-144302.png
    46.4 KB · Views: 18
Baada ya Masoud Kipanya kutengeneza gari sasa ni zamu ya Wanafunzi..

Kunyaland wanamsubiria mzungu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-134927.png
    Screenshot_20220529-134927.png
    135.6 KB · Views: 17
Back
Top Bottom