Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi za matope na shuruba afanye mwingine matunda mnashangilia nyie[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zaidi ya kuongeza rushwa na sherehee kingine nini
 
Huu ushaidi huwa u ausoma kweli, hakuna sehem imesema kuanza kujenga bali kukamilisha manake kitu kilisha anza
 
Kazi za matope na shuruba afanye mwingine matunda mnashangilia nyie[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zaidi ya kuongeza rushwa na sherehee kingine nini
Kingine hiki hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-191502.png
    182 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220528-191519.png
    170.2 KB · Views: 31
  • 20220528_190955.jpg
    250.1 KB · Views: 36
  • 20220528_190951.jpg
    305.1 KB · Views: 31
  • 20220528_190948.jpg
    304.1 KB · Views: 33
Naendelea kuwapa vitasa vya SSH nyie muwe mnaitikia na wimbo wenu uliochuja wa hakuna miradi mipya [emoji23][emoji23]..

Mama yuko kazini,limekamilika [emoji116]
Kwaiyo icho kidaraj ndio unapost hapa., vipi naona arena mpka 2025,daraja la pale msimbazi vipi meshindwa?
 
A genuine comment in comparison btw NBO & DAR
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-202809.png
    196.8 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220528-202801.png
    118.2 KB · Views: 30
2018 nani alikuwa Rais, tuweni fair basi kwenye haya mambo.
Kwa hiyo alipokuwa Rais aliacha pesa za kumalizia sio? 🀣🀣🀣..

Juzi AfDB wamempa nani tuzo ya Miundombinu? Kwa hiyo hawako fair? 😬😬😬😬
 
Kwaiyo icho kidaraj ndio unapost hapa., vipi naona arena mpka 2025,daraja la pale msimbazi vipi meshindwa?
Sizitaki mbichi hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..Ndio wananchi wanataka hayo madaraja..

Umeona Kazi ya tozo hapa, Sumbawanga πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220524_174736_323.jpg
    929.9 KB · Views: 28
  • IMG_20220524_175106_500.jpg
    1.2 MB · Views: 29
  • IMG_20220524_174031_880.jpg
    946.1 KB · Views: 33
  • IMG_20220524_174713_993.jpg
    1.1 MB · Views: 30
  • IMG_20220524_173524_646.jpg
    947.6 KB · Views: 29
  • IMG_20220524_173605_258.jpg
    707.2 KB · Views: 34
Hili darajabnilikuw nashindwa kuelewa kwanini maraisi walio pita walilipotezea hasa JK? Legacy as ussual
Hadi mnafukia mtu wenu halitumiki na lilikwama,Samia kalikwamua na Sasa linatumika..Una jingine?πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-191358.png
    148 KB · Views: 31
  • Screenshot_20220528-191410.png
    104.7 KB · Views: 35
Kwa hiyo alipokuwa Rais aliacha pesa za kumalizia sio? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Juzi AfDB wamempa nani tuzo ya Miundombinu? Kwa hiyo hawako fair? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Angefanyaje na hayupo? Kama angekuwepo angetafuta kama alivyoanzisha maana hata hao wakandarasi hawakuanza kwa mali kauri walilipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…