Buda si utulie uulize vile ku upload picha, tumejaribu kukuambia lakini sijui mbona haupo mpole kuuliza...mimi huwa napita tu kwa hizo picha unaweka bila kuziangalia maana hazionekani na sina mda wa kuziangalia moja moja.. najua sio mie pekee...sio kwa ubaya lakini rekebisha ama uendelee hivo, sitorudia kusema. Mda unekuwa huku unatosha ujue hayaNimesema weka hapa Takwimu za mwaka mmja wa Magufuli tulinganishe acha ufala..
Pili mimi sijatumwa na Samia najituma mwenyewe..
Vituo vya afya hivi hapa 👇
Aliekutag nani? 😅😅😅 Hata maana ya kutag hujuiWe mjinga sana usinitag
Iko sawa snaaaSawa.. next time hasa wakenya, msituchukulie poa humu ndan [emoji1].. eti hatujui english
Kaka jana ilikuwa burudani mbayaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakwambia we acha kabisa mkuu, Vitasa vitasa na Nakoz zimetembea mpaka busara ikatumika [emoji2321][emoji2321][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ya kilimo imepanda pia kwa uwiano huohuo.Kishindo kingine cha Samia hiki hapa kimfikie Geza and the likes..
Bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802 ndani ya mwaka mmja tuu[emoji116]
Nakuru na eldoret zimetulia
Kwenye kilimo imepanda kweli ikitumika ipasavyo italeta tija maana kwa ukubwa wa ardhi ya nchi yetu, vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji, mifugo tutapata mavuno ya kutosha. Waziri apewe support sana yuko vizuri.
Next year hata ikipata 1.5tr itapendeza zaidi. Maana kilimo ndio backbone ya nchi yetu tukiweza kupandisha GDP ya Kilimo itainua watu wengi sana kutoka umaskini.Kwenye kilimo imepanda kweli ikitumika ipasavyo italeta tija maana kwa ukubwa wa ardhi ya nchi yetu, vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji, mifugo tutapata mavuno ya kutosha. Waziri apewe support sana yuko vizuri.
Nashauri bajeti ya mwaka wa fedha ijayo Wizara ya Kilimo ipewe fedha zaidi ya hii ya mwaka huu.
Harafu unakuta fala mmja anasema hakuna kitu kinafanyika.
Unaongea nini wewe kenge wa kibera?Buda si utulie uulize vile ku upload picha, tumejaribu kukuambia lakini sijui mbona haupo mpole kuuliza...mimi huwa napita tu kwa hizo picha unaweka bila kuziangalia maana hazionekani na sina mda wa kuziangalia moja moja.. najua sio mie pekee...sio kwa ubaya lakini rekebisha ama uendelee hivo, sitorudia kusema. Mda unekuwa huku unatosha ujue hayaView attachment 2242105
Horn of Africa Ndiyo east Africa ??
Ndio hizo ofisi za Mikoa zinajengwa mwaka huu..Kila mkoa uwe na makao makuu yake ya ardhi, me nakubali ile ya kikanda hapana ilichelewesha watu kupata hatimiliki zao mwishowe wanaamua kujenga bila kibali, ndio huo ujenzi holela kila sehemu.
Kwa hiyo point yako ni nini hasa?Hili daraja kwenye picha na supporting structures hazifiki Tshs 6 bln!
Kupika Takwimu mbalimbaliAlikua muongo kwa lipi
Sasa kuna cha kujisifu hapo kweli kama miaka yote hiyo ongezeko ni bil.500 monthly?Magufuli kaingia madarakani kakuta TRA inakusanywa billion 850 kwa mwezi, kaondoka TRA inakusanya trillion 1.3 ongezeko la billion 500, kichaa anachekelea mishahara kuongezwa hajui aliefanya mapato yapande mishahara iongezeke ni nani! 😂😂😂
Anyway idiots are just idiots