Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Ndo nashangaa mm sijui wanatoa wapi ujasiri wakusema jpm alikua muongo wakati raisi wao ndo baba wa uongoWakunya akili hawana
Eti Magu alikua muongo
Uhuru aliwadanganya kuwajengea reli ya umeme, laptops kwa kila mwanafunzi, international stadium kila County, kuondoa vifo vya njaa, na uongo Mwingine mwingi ila akili za kuzinduka hawana sababu wapo kwenye ganzi ya ukabila, as long as ni wa kabila lake hata amwambie ale uchafu wake atakula 🙄
Uyo alieacha kodi 850 alikua anaongeza hamna excuse yyte zaidi ya matumizi mabaya ya ofisiMagufuli kaingia madarakani kakuta TRA inakusanywa billion 850 kwa mwezi, kaondoka TRA inakusanya trillion 1.3 ongezeko la billion 500, kichaa anachekelea mishahara kuongezwa hajui aliefanya mapato yapande mishahara iongezeke ni nani! [emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway idiots are just idiots
Yani hawa jamaa ni kituko. Mara nyingi mimi huona humu Wakenya wakikubali kama kuna maendeleo mazuri huko ila wao ubishi tu. Jamaa lingine jana linaonhyesha eti hii ni proof kuna slum State House. 🤣 🤣😂 😂 😂ni kama kazi ya kuchunga mbuzi wasumbufu mjini, balaa! Yaani ni ngumu mno, usikue na mazoea ya kupigia hawa mbuzi guitar 😂😂😂😂😂
Tunaongelea watengenezaji wee unaleta wauzaji. Sijui watu hufikiria aje humu. 🤣 🤣Hivi unajua hii brand ni ya mtanzania, inauza bidhaa mpaka kunyaland lakini huoni tukiongea
View attachment 2242005
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivyo vitisho.. on ground im sure uhalisia ni zero..hamna chochote.. kwenye maneno 100 ondoka na moja tu [emoji23]..
nimekumbuka "next time, i wont show you even my nails if you ask for them" [emoji23]
Sasa kwa nini unatuletea sisi fujo wakati waliosema ikulu yenu ni slum ni Wakunya wenzio unaoweza kuwafata ofisini na kuwauliza?Yani hawa jamaa ni kituko. Mara nyingi mimi huona humu Wakenya wakikubali kama kuna maendeleo mazuri huko ila wao ubishi tu. Jamaa lingine jana linaonhyesha eti hii ni proof kuna slum State House. 🤣 🤣
Yani of all places Dennis Pritt Road area Milimani ndio slum. Yani jamaa haelewi hamna mtaa hapo Dar unaweza kutoshana na Milimani kwa class. Nilicheka tu.
Tunaongelea watengenezaji wee unaleta wauzaji. Sijui watu hufikiria aje humu. 🤣 🤣
Jana umekimbia nilivyokuuliza uback up ur claims kuhusu africab kuwa ni kampuni ya kenya
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nilijaribu Ku search Chuo chake Maseno nikaona kipo huko Kisumu ila kina Vijitawi kadhaa najua Kitawi kingine kipo Moi Avenue kama ndio hiko Tony kasomea basi hakina tofauti na Datastar au Amazon College Bongo [emoji1787]J/K
BTW niliangalia Maseno ina rank Kama chuo cha Elfu saba na kitu duniani, mimi chuo nilichipitia kipo Top 300. Kwa wanavyopenda Sifa na ranking mpaka hapo sifanani nae .
Pia kuna Swala la Private Car kama asset kwa jinsi alivyogaragara nalo huko mi sipo[emoji1787]. Non of my Business.
Me sijawai ona brand kama hii Kenya hata naijua leo kwa mara ya kwanza, Kenya tunatumia brand yetu inaitwa Ramtons.Hivi unajua hii brand ni ya mtanzania, inauza bidhaa mpaka kunyaland lakini huoni tukiongea
View attachment 2242005
Matumizi mabaya ya ofisi ipi?Uyo alieacha kodi 850 alikua anaongeza hamna excuse yyte zaidi ya matumizi mabaya ya ofisi
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo yameanza kuwiva humu ndani, nilisema huko juu watu ni wajuvi wa mambo wanaweza kukutrack mpaka wakajua umesimama sehemu gani.
hapa ulinyonga mtu, facts vs porojo, inaumiza sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂'After every 1 rich person's house there are more than 1,000 mabati houses', whatever that means ndio hii hapa 😂 😂 😂.
View attachment 2240866View attachment 2240867View attachment 2240868View attachment 2240870View attachment 2240871View attachment 2240872View attachment 2240874View attachment 2240878View attachment 2240882View attachment 2240883View attachment 2240884View attachment 2240886View attachment 2240887
Now do the comparison
View attachment 2240914View attachment 2240916View attachment 2240917View attachment 2240919
[emoji106][emoji106]Pamoja mkuu.
Imenipita hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa mkwanjaa sijui wako wangu uko juu
Aisee hii ni hatari kama mnavyomjua Kagame lazma a-retaliate na hapa ndipo Wajinga wa Kaskazini watajijua hawajui na kujitamba agressiveness yao! On the other hand more money to our TCAA maana Rwanda itaongeza matumizi ya air space yetu!
tayari ukarabati hata mwezi haujafika?
We mjinga sana usinitagMatumizi mabaya ya ofisi ipi?
Kuna faida gani kuongezea watu 300k elfu 20, 20 huku Watanzania zaidi ya million 50 hawana umeme, maji, hospital, dawa, barabara, reli, bandari, airports?