Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

U didn't get my point, your economy is too small with meagre revenue to manage multi projects and finish on time, lazima zijikokote as they wait for the gov't to provide funding of which pesa ni kidogo haitoshi mahitaji, lazima serikali yenu igawe kidogo kidogo ili sekta yoyote isikose., the trend in Sub Saharan Africa.,
 
Leta hivyo vithibitisho kwanza ndio tuende sawa na kuhusu video ya huyo kijana anayetengeneza mitaa mm sijaiona
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ni kama kazi ya kuchunga mbuzi wasumbufu mjini, balaa! Yaani ni ngumu mno, usikue na mazoea ya kupigia hawa mbuzi guitar ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakuu kiukweli kabisa hii Dodoma itakuja kuitesa sana Afrika mashariki na kati, ni moto wa petroli huu wazee, nmecheki hizo estate zitakapoisha nadhani itakuwa kwenye tatu bora Afrika kwa estate kali na za gharama.
Sio ujenzi binafsi tu wa makazi bali na ujenzi wa barabara za viwango za mitaa unazingatiwa.

 
Hivi unajua hii brand ni ya mtanzania, inauza bidhaa mpaka kunyaland lakini huoni tukiongea

 
Wakuu kiukweli kabisa hii Dodoma itakuja kuitesa sana Afrika mashariki na kati, ni moto wa petroli huu wazee, nmecheki hizo estate zitakapoisha nadhani itakuwa kwenye tatu bora Afrika kwa estate kali na za gharama.
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚yaani mmezoea dream houses zile zenu, so ukiona such small development ambayo hamjazoea kuziona Tanzania unaona ni kubwa na eti itatisha East and central Africa, uko serious lakini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., pitia hii link then pick video to watch on Kenya's property show.., mlichelewa sana
 
Alikua muongo kwa lipi
Wakunya akili hawana
Eti Magu alikua muongo

Uhuru aliwadanganya kuwajengea reli ya umeme, laptops kwa kila mwanafunzi, international stadium kila County, kuondoa vifo vya njaa, na uongo Mwingine mwingi ila akili za kuzinduka hawana sababu wapo kwenye ganzi ya ukabila, as long as ni wa kabila lake hata amwambie ale uchafu wake atakula ๐Ÿ™„
 
Kila mkoa uwe na makao makuu yake ya ardhi, me nakubali ile ya kikanda hapana ilichelewesha watu kupata hatimiliki zao mwishowe wanaamua kujenga bila kibali, ndio huo ujenzi holela kila sehemu.
 
Imenipita hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa mkwanjaa sijui wako wangu uko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ