Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm sijasoma mbwa wewe mzee wa kuomba cheti, eti kasoma university of Nairobi, eti ana ajira alafu anavaa buti lina mashavu na infinix yenye 2gb Ram, nenda kadanganye chokoraa wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemwaga povu gunia mzima. Ukizoea kuomba vitu usidhani kila mtu ako kama wewe.
 
Bashe kama Bashe 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-192227.png
    136 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220527-214315.png
    156.5 KB · Views: 33
[emoji1787] unaweza tumiwa location ya Getho [emoji1787]
Yaani we acha, na kama umeoa unatumiwa picha ya mchepuko wako halafu unaulizwa vipi tumtambulishe kwa wife wako...hapo sasa [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji16][emoji16]
 
Kwani pro Russia/China wanasemaje?

Kubwa la mabeberu ndani ya TPDF👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-192118.png
    192.3 KB · Views: 29
Hata sasa tunawaahinda kwenye umeme Vijijini,maji mjini na kijijini nk..

Hata sekta ya Afya tunazidi kuwadukua kama hivi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-191617.png
    146 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220527-214104.png
    165.1 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220527-214134.png
    45 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220525-225904.png
    253.1 KB · Views: 24

Ni kweli Tony, Kuhusu path ya Maisha kila mtu ana yake na haifai kudhihaki, Mimi siwezi dhihaki njia yoyote ya Maisha anayofuata mtu. Mimi nimebahatika kuona watu wanaoishi [emoji1787], Yaani unajijua live mimi kweli nasurvive siishi. Pia nimewahi kukaa na watu matajiri na wanaotoka mataifa Tajiri na walioendelea na kuona wanavyoishi na wanabishana kuhusu usafi wa miji yao. Wakati mimi naabudu mji flani ulivyomsafi kuna mtu anauponda na kusema mchafu [emoji1787]. Basi hapo ndio unapojua hujui. Je wewe umefanya kazi miaka mingapi toka umemaliza shule? Inawezekana hatujaachana sana [emoji41]
 
Hili nalo neno mkuu. Wataanza kufanyiana vigisu vigisu kupangiana safari, kuharibiana mood ya kazi, kuhonga/kuhongwa ili wapangiwe safari.
Hizo pesa zimeongezwa kuwasaidia viongozi na Wakuu wa Taasisi ila mwenzangu na mimi hadi upate safari mpaka aamue huyo huyo boss..

Pia watakaofaidika na hizo posho ni watu wanaofanya Kazi sekta ya Afya kwa sababu ya nights, emergency na exta time..

Pia watu walioko TanRoads, Tarura na RUWASA na taasisi kama hizo maana Wana Kazi za site moja kwa moja.
 
Yaani we acha, na kama umeoa unatumiwa picha ya mchepuko wako halafu unaulizwa vipi tumtambulishe kwa wife wako...hapo sasa [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji16][emoji16]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimefuta picha yangu. Nilikuwa nataka kupost kwa dakika chache tu. Kuhusu swali lako. Nilifanya kazi mwaka mmoja unusu kabla ya kupata fully paid Czech government scholarship. Unalipiwa kila kitu kwa miaka miwili ya masomo ikiwemo monthly stipend ya upkeep.

Baada ya kurudi nyumbani June 2019, nilipata kazi baada ya mwezi mmoja tu ya kuwasili. Ni miaka mitatu sasa baada ya kuwasili Kenya. Ukiongeza na mwaka mmoja unusu ile ya awali basi nimefanya kazi miaka minne unusu pekee.
 
Ndio hivyo mkuu watu wasio na maamuzi ndio watapigwa bench sana labda awe na mahusiano mazuri na boss. Hapa sasa kujipendekeza kwa bosi watu watafanya sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…