Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Nilijua tu lazima hiyo post imlize kondoo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyinyi wachumi mnanichekesha sana kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23], hivi vitu mbona vinanichanganya? Ni pato gani anazungumzia hapa, la mtu mmoja mmoja au la nchi?[emoji4]
Huyo sio mchumi ila ni mchumia tumbo, Wala usijisumbue kufuatilia post zake atakupoteza, yeye mwenyewe hajui anachokizungumza

USA utajiri wao GDP ni $22trl, idadi ya watu ni 300M, ukicuhukua hiyo pesa na kugawanya kwa idadi ya watu, kila raia atapata $65,000(GDP per Capita.

Qatar utajiri wao(GDP) ni $220B, idadi ya watu ni 1.5M, ukigawanya hiyo pesa kwa idadi ya watu, kila raia wa Qatar atapa $160,000(GDP per Capita).

Which country is richer among the two?[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kamwana doing it he does best, construction.

In 10 months time the hospital is complete.

Another 600 bed Hospital ''The National Teaching and Referral Neuropsychiatric Centre'' to begin construction next month in Karen, Ngong. Uhuru has done the most.

 
Kwa kigezo cha per capita basi Qatar ndio richest, ila kwa metric zote USA ni balaa...
Ni sahihi kusema Seychelles ni nchi tajiri kwasababu watu ni wachache na shughuli za uzalishaji na standard ya maisha ya watu wake ni mazuri sana.
Mkuu, which is the richest country in the World, USA or Qatar?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Karimjee mbona huizungumzii?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hao KDF hatujasahau walipigwa na mwanamke mpaka wakaomba poo. Mnamkumbuka The Black Widow Samantha? Shughuli yake wanaijua vizuri tuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nikifikiria uchumi wa nchi wenye GDP ya dollar tln 1 ulivyo mkubwa kama Brazili, Germany 3 tln, halafu misaada wanayotoa kwa nchi masikini, maisha wanayoishi yalivyo ya uhakika,miundombinu yao,afya,ulinzi halafu tuishindanishe na nchi yenye dollar 250 unapata picha tofauti kabisa.

Tlioni 20 aisee wenzetu wako mbali sana kaa kweli. Afrika bado tuna safari ndefu.
 
Hao KDF hatujasahau walipigwa na mwanamke mpaka wakaomba poo. Mnamkumbuka The Black Widow Samantha? Shughuli yake wanaijua vizuri tuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu,hii ilikuwaje mbona siikumbuki?Naomba unikumbushe tena.

Hawa wanacheka mazoezi ya askari wetu pasipo kujua ndio mazoezi ya utimamu wa mwili, wana mazoezi laini laini na mepesi wanazidiwa na JKT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…