Hongera mkuu [emoji41][emoji41][emoji2][emoji2]Me mwenyewe nmeshangaa mwezi huu mbona kahela kameongezeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
Utakuta kuna mkono mrefu umepenyeza bahasha ya khaki mezani.Tender zake mbovu mbovu...Sino Hydro anapewaje BRT phase 3 wakati phase 2 tu anazngua
Usipokua makini unarudisha change 😂😂😂Uzuri nilikuwa nimeshamaliza kula [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka vitu vya kushangaza sasa hivi ni vingi huku kwetu...kuwa na subira uone.Nitashangaa sana nikisikia anataka kuchukua form.
Hovyo zaidi ya hovyoAlafu ndo kapewa msalato huyo 🤔
PovertyKunyaland most common housings [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2235776
View attachment 2235777
View attachment 2235778
View attachment 2235779
View attachment 2235780
View attachment 2235781
View attachment 2235782
View attachment 2235783
View attachment 2235784
View attachment 2235785
Sasa hapo kuna kumaliza kweli au tunabaki hapo hapo kama gari bovu??Wameishiwa hela za BRT 2 sababu ya kurudiarudia kazi[emoji28], so wamepewa za BRT 3 ili wafidie [emoji2960][emoji1787]
Wakimaliza hizi takataka wanaweza jiita world class cityHuku ni wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2235754
View attachment 2235755
View attachment 2235756
View attachment 2235757
View attachment 2235758
View attachment 2235759
View attachment 2235760
View attachment 2235761
View attachment 2235762
View attachment 2235763
View attachment 2235764
View attachment 2235765
View attachment 2235766
View attachment 2235767
View attachment 2235768
View attachment 2235769
Sehemu nyingi Tanzania wanauza hivyo ,ukikataa utumbo unaulizwa wewe mgeni huku?Wewe unaishi wap? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakamba sana we jamaa...
Moshi ukienda buchani unakatiwa nyama unayotaka plus utumbo...Huku dar ndio nashangaa utumbo unauzwa juu kwa juu
Kuongeza mishahara bila kuzuia mfumuko wa bei ni kazi bure tuu ila acha tungojee adi agosti tuone zile hatua walizochukua ili kushusha bei za mafuta zitasaidia la sivyo watakua wametupiga chenga ya kichwa tuuKwa wenye magari.. mfano yangu full tank ni litres 93.. nilikuwa najaza mara mbili full tanks kwa almost 460k ( 230k×2)
Saiz najaza full tank mara mbili kwa almost 630k
Sasa difference hapo ni almost 170k.. ambao ni kulekule kwenye ongezeko, so ongezeko lote limeenda kwenye mafuta (kwa wafanyabiashara na serikal)
Sasa hapo bado gharama zingine vya vyakula, ujenzi, etc. 2025 mtalii akapumzike
Whatt?[emoji2955][emoji2955][emoji2955],mbona atasumbua sana aisee.Alafu ndo kapewa msalato huyo [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]The only mabati house country in the world [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2235722
View attachment 2235723
View attachment 2235724
View attachment 2235725
View attachment 2235726
View attachment 2235727
View attachment 2235729
View attachment 2235730
View attachment 2235731
View attachment 2235732
Kabisa mkuu ,siku yako nzima inaharibika kila ukiwaza chakula na mazingira ya hawa jamaa.Usipokua makini unarudisha change [emoji23][emoji23][emoji23]
Duuhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vipapatio vya kuku ni ghali kama almasi
Wakati Tanzania mgeni akija ukampa kipapatio ni dharau kubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu cha ajabu ni kwamba kariakoo unaweza ukatembea umbali mrefu usikute dust bin lkn co pachafu, ila Nairobi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kariakoo ni most congested district in the region yet its the most clean place in the region as well!
Nairobi ni makapurwa they need to take lessons from Kariakoo
Yani yupo slow na kazi yake nI ya ovyo bora mjapani yupo slow ila kazi safiWhatt?[emoji2955][emoji2955][emoji2955],mbona atasumbua sana aisee.
Ni kweli Mjapan anamaliza kazi,kwanini wale Tanzanite bridge South Korea hawakuomba tender mbona wako vizuri tu? Hatukusikia wakipigiwa kelele labda kule kwenye ujenzi wa meli ndio walitaka kuharibu,ila baada ya mkwara wa PM naona wamesort out tatizo.Yani yupo slow na kazi yake nI ya ovyo bora mjapani yupo slow ila kazi safi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio Ile Kijiko Ya Nyama estate Dar. Heri kukaa Kibra sasaThis is part of Mathare slum(Mathare North Kama sijakosea)View attachment 2235747
linganisha na hiki kituko cha uswazi cha Dar regarded as a middle-income area View attachment 2235749
[emoji23] [emoji23]
Looks like kariakooThis is part of Mathare slum(Mathare North Kama sijakosea)View attachment 2235747
linganisha na hiki kituko cha uswazi cha Dar regarded as a middle-income area View attachment 2235749
[emoji23] [emoji23]