Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
😂😂😂 Tonny umejiabisha sana, mabishano ya mambo za assets na liabilities hadi umepost vyeti.? 😂😂 Nimesoma business class wakati nipo "O" level, na nimejua kuhusu assets na liabilities nikiwa form one and Two, nimejua kutengeneza balance sheet nikiwa chalii wa form 1, nimejua kutengeneza correction of Error account nikiwa chalii wa form 3.. then u ar here bragging of knowing balance sheet 😂😂😂..Chamoto jamaa wa certificate in software programming, Justinr mjamaa wa kusukuma mkokoteni na chongchung mjamaa jobless nimeshawaeleza mambo ya accounting wacheni nayo. Mnajaribu kupingana na mtu aliyesomea haya mambo hadi mwisho. I am a CPA (K). Mwanzoni mwa jina langu ninaruhusiwa kuandika neno CPA kwa sababu CPA ni title yangu ila huwa naandika Mr. kwa sababu sipendi maringo kama nyinyi. Yaani nimesomea uhasibu hadi cheti cha mwisho kabisa cha section 6 na kuhitimu. Kwa hivyo muwache kudanganya watu humu.
Eti Chamoto una-argue vitu usivyovielewa. Wewe umewahi kuunda balance sheet yoyote maishani mwako? Kama hujui vitu vipi vinafall under assets na vitu vipi vinafall under liability unafunga bakuli lako sio kutupigia makelele hapa. Na Justinr unang'ang'ana kwamba ikiwa mtu mmoja anaishi ndani ya nyumba basi hio nyumba ni liability. Plenty of brain-dead people in this forum.
View attachment 2229116
View attachment 2229073
View attachment 2229124
Cc NDINDA
joto la jiwe
Hapo bado watakwambia they are ahead of us in everything 😂😂😂Tanzania railway line is twice the length of Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC and Sudan railway lines combined [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2229237
Kweli kabisa, huyu dada anaonekana ni mtamu. Nkitizama hayo mashavu yake usoni kuna picha fulani inanijia namna mashavu part 2 yalivyoLupita ana uraia wa Kenya na Mexico ila Dna yake ni 100% Kenyan. Lupita ni mweusi hata kushinda wengi wetu hapa halafu hajajichibua ngozi kama Waafrika wajinga wanaopenda kujichibua ngozi ili wawe weupe zaidi. Yeye anapenda ngozi yake jinsi ilivyo na ndio maana mimi nampenda kwa sababu amejikubali na kujipenda jinsi alivyo. Huyu Lupita hana hata chembe chembe cha DNA moja cha Kimexico ndani yake, huyu ni mjaluo pure 100%. Sasa kama hupendi basi kalilie chooni.
View attachment 2227741
View attachment 2227743
View attachment 2227744
Wazazi wake ukiwaangalia unaona tu kwamba wao ni Waafrika 100% pure, hakuna chembe chembe cha Umexico ndani yao. Hawa Wajaluo ndio mnatumia nguvu nyingi kusema kwamba sio Wakenya eti kwamba ni Wamexico? Baba yake ni governor wa Kisumu county sasa hivi tunavyozungumza. Governor ni nafasi nzito sana hapa Kenya, ni kama regional commisioner (RC) huko Tanzania. Kwa hivyo baba ya Lupita ni regional commisioner wa Kisumu county. Tofauti ni kwamba hapa Kenya governor anachaguliwa na watu ila RC huko Tanzania anateuliwa na rais.
View attachment 2227747
View attachment 2227749
sasa unaficha nn wakati ulishaweka vyeti vyako tukakujua mpaka jina lako? Acha utani Mr Tony ...Chamoto jamaa wa certificate in software programming, Justinr mjamaa wa kusukuma mkokoteni na chongchung mjamaa jobless nimeshawaeleza mambo ya accounting wacheni nayo. Mnajaribu kupingana na mtu aliyesomea haya mambo hadi mwisho. I am a CPA (K). Mwanzoni mwa jina langu ninaruhusiwa kuandika neno CPA kwa sababu CPA ni title yangu ila huwa naandika Mr. kwa sababu sipendi maringo kama nyinyi. Yaani nimesomea uhasibu hadi cheti cha mwisho kabisa cha section 6 na kuhitimu. Kwa hivyo muwache kudanganya watu humu.
Eti Chamoto una-argue vitu usivyovielewa. Wewe umewahi kuunda balance sheet yoyote maishani mwako? Kama hujui vitu vipi vinafall under assets na vitu vipi vinafall under liability unafunga bakuli lako sio kutupigia makelele hapa. Na Justinr unang'ang'ana kwamba ikiwa mtu mmoja anaishi ndani ya nyumba basi hio nyumba ni liability. Plenty of brain-dead people in this forum.
View attachment 2229116
View attachment 2229073
View attachment 2229124
Cc NDINDA
joto la jiwe
HahahaKweli kabisa, huyu dada anaonekana ni mtamu. Nkitizama hayo mashavu yake usoni kuna picha fulani inanijia namna mashavu part 2 yalivyo
Hata kwenye economics nakupiga vibaya sana. Wewe ningekuadvice uwachane na mimi tu. Mimi sio size yako. Hii ni transcript yangu ya second year nikiwa bado mwanafunzi kwenye university mwaka wa 2013. Angalia units nyingi ni za economics na accounting. Hakuna unachoweza kuniambia kwenye economics wala accounting.
View attachment 2229268
Cc Chamoto joto la jiwe eliakeem NDINDA chongchung Justinr
Wewe hakuna unachokijua bongolala. Sasa hata kama kuinterpret graphs ndio shida kwako what else do you know? Eti mathematician! 😂 😂Sasa kuwa na adabu na kuanzia leo ukae ukijua mzigo wote wa Mombasa umerudi Dar port.
Nmekupiga "nice upper cut" [emoji109][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe hakuna unachokijua bongolala. Sasa hata kama kuinterpret graphs ndio shida kwako what else do you know? Eti mathematician! [emoji23] [emoji23]
Hiyo graph Ina maajabu gani we acha kujitia ukichaa usiokuanao we makalio.?Wewe hakuna unachokijua bongolala. Sasa hata kama kuinterpret graphs ndio shida kwako what else do you know? Eti mathematician! 😂 😂
Mombasa port inapokea ngapi?Hiyo haibadili ukweli kwamba kwa sasa Dar Port ndiyo inapokea mzigo mwingi kuliko Mombasa port hata ulie.