dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
every town has its own culture. this is a thika culture, same case with lorry daladala in zanzibari, that you ll not even find in nairobi or nyeri or meru.... infact my homecouty town of kericho has 0.00% no. of bicycles.
Imekuwa culture tena 😆😆every town has its own culture. this is a Thika culture that you ll not even find it in nairobi or nyeri or meru.... infact my homecouty town of kericho has 0.00 no. of bicycles
Ngoja niingie chimbo nakuja.but are you realy sure Diamond has a Net worth more than $10M ahead Lupita.? an Oscar Winner.!?...
a Lead actor in TheBlackPanther blockbuster.. the 12th highest grossing Movie of all time.!!
prove me please. i ll be more than grateful [emoji1431][emoji1431]
View attachment 2226904
hivi mtumzima tajika kutuonesha hard cash kama hii live ili mradi watu waone kua kweli ako na pesa ni ushamba wa aina yake.! ana kosa advisor huyu mtoto
View attachment 2226914View attachment 2226913
Yote sawa lakini lupita hana any sense of recognition compared to diamond, hana any success in her career compared to diamond as wellWacha upuuzi. Kwanza, Baba ya Lupita ni mtu maarufu sana Kenya. Baba ya Lupita ni governor wa Kisumu kwa jina Professor Anyang Nyong'o. Lupita alizaliwa Mexico wakati baba yake alikuwa anafundisha katika university huko Mexico.
Pili, huyu hapa ni Lupita akifundisha wazungu jinsi ya kupika Ugali akiwa Kenya baada ya kurudi nyumbani baada ya yeye kushinda Oscars huko Marekani. Vogue, magazine inayoheshimika duniani ilimfuata hadi Kenya ili Lupita afundishe mafans wake jinsi ya kupika ugali.
Kabisa mara nyingi utamsikia yuko Kigoma sehemu nyingine haendi sasa unajiuliza ni Makamu Rais wa Kigoma tu ama?Kweli kuna vipengelee kwenye katiba vinafaa vibadlishwe ili kumpa Mamlaka zaidi maana anakula hela za bure tuu hapo
Nioneshe picture 1 tu akiwa na bendera ya Kenya au hata akiwa kavaa zile bangili zenulupita ana beba bendera ya kenya... hivi, hii pamba aliyo inyuka ya samawati, iliitwa 'The Nairobi Blue'.. next minute, kila binti duniani kote, alitaka sare kaa hio
View attachment 2226900
Kazi imeanza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Diamondplatnumz, africa ndio... majuu hapana.!Yote sawa lakini lupita hana any sense of recognition compared to diamond, hana any success in her career compared to diamond as well
Anaanza kupanda si unaona sasa hivi ameanza kufanya collaboration na wanamuziki wa majuu? Atajulikana bado ako na muda wa kutosha.Diamondplatnumz, africa ndio... majuu hapa.!
Lupita majuu ni moto ya kuotea mbali[emoji91][emoji91].. nenda marekani
Huyu mama ni mazungumzo tu vitendo ni sifuri[emoji849][emoji849]kwake mambo ya kipumbavu ndiyo ya msingi naya msingi kwake ndiyo upumbavu , mfano muvi ya utalii ...unashawishiji utalii bila kuzingatia usafi wa nchi sasa hivi nchi inanuka kwa uchafu wakuu wa wilaya na mikoa wanakaa bila kufanya kazi yoyote, ni vema wakuu wa mikoa wawe wanachaguliwa kwa kupigiwa kura kila baada ya miaka 3 kama wanatosha au la kwenye hizo nafasi....maana rais akiwa goigoi kila kitu kina zembea , mfano mkuu wa wilaya ya kinondoni na ilala sijui wanafanya kazi gani? Uchafu kila sehemu ,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa jamaa wanapenda umaarufu usio na lazima [emoji28][emoji28]Kuna kenge alisema hizi tunatoa kwao[emoji1787]
View attachment 2227019
View attachment 2227020
View attachment 2227022
View attachment 2227023
ila nimekudaka mzee.. hivi Mali ya DiamondPlatnumz ni nusu ya lupita..👇🏽👇🏽Ngoja niingie chimbo nakuja.
Kuna kenge alisema hizi tunatoa kwao[emoji1787]
View attachment 2227019
View attachment 2227020
View attachment 2227022
View attachment 2227023
Additionally, she is short on looks and very ugly. Most Kenyans are as ugly as sin.Yote sawa lakini lupita hana any sense of recognition compared to diamond, hana any success in her career compared to diamond as well
how about DiamondPlatnumz.! is he realy handsome...................... 😆Additionally, she is short on looks and very ugly. Most Kenyans are as ugly as sin.
Jamaa ni wabaya kama dhambi🤔🙄View attachment 2227072
90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?
Wameanza chokochoko kwa sababu eti wataagiza mahindi nje ya EAC90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?