Hapa ni Isaka nini mkuu?Kazi iendelee
View attachment 2226893Latest Updates on Rwanda and Tanzania's Isaka-Kigali Standard Gauge Railway (SGR) Project
Tanzania has announced plans to invite international tenders for Isaka-Kigali standard gauge railway from Isaka dry port to Rwanda and DRCconstructionreviewonline.com
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
but are you realy sure Diamond has a Net worth more than $10M ahead Lupita.? an Oscar Winner.!?...Hata mkwanja pia kampita.
ndio zile meli za kubeba 300 cars au??🤣🤣 manake figure hamuweki hapa za magariWe are the king's in all sector, biggest port in East Africa and top 10 in Africa
View attachment 2226929
Kweli kuna vipengelee kwenye katiba vinafaa vibadlishwe ili kumpa Mamlaka zaidi maana anakula hela za bure tuu hapoIt's like the so called ceremonial tittle. Huwa sioni mandate yake kwenye serikali yake.Mwanzo wakati anaanza alikuwa anatoa maagizo lakini baada ya muda akawa kimya hadi leo, na siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo anazidi kuwa mpole.
but are you realy sure Diamond has a Net worth more than $10M ahead Lupita.? an Oscar Winner.!?...
a Lead actor in TheBlackPanther blockbuster.. the 12th highest grossing Movie of all time.!!
prove me please. i ll be more than grateful 🙏🏽🙏🏽
View attachment 2226904
hivi mtumzima tajika kutuonesha hard cash kama hii live ili mradi watu waone kua kweli ako na pesa ni ushamba wa aina yake.! ana kosa advisor huyu mtoto
View attachment 2226914View attachment 2226913
Leta moja imechakaa tuone,zote zmepakwa rangi zapendezaHizo zenye kuanza kuchakaa hata kabla hazijaanza kutumika [emoji41][emoji41]
Kenya Kuna pesa kweli,wahhh😂😂folen kwenye expressway
Wahhh😋😋🤪🤪🤪That Upperhill skyline is massive
Expressway inatengenezaje jam?Kenya Kuna pesa kweli,wahhh
Haha tumeskia kilio chako,hii ni homa kwa wapoko sasaNaona mmeanza kuiga Tz kwenye quality, nyie hizo sio level zenu, level zenu matope roads kama Thika. Hapo cku c nyingi itakuwa kama iliyojengwa mwaka 1970.
Hapo uzinduzi ni bure wanapita hapo juu sasa ulitaka wasipite juu na ushamba mlionao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini Nairobi blue na isiwe Mombasa, Meru, Nakuru au Kisumu blue au ndio tunaendeleza kale kaujinga ketu pendwa?lupita ana beba bendera ya kenya... hivi, hii pamba aliyo inyuka ya samawati, iliitwa 'The Nairobi Blue'.. next minute, kila binti duniani kote, alitaka sare kaa hio
View attachment 2226900
heb nikuulize swali tu moja.? tofauti iko wapi ukisema Dubai na UAE. this two are intertwined or overlapKwanini Nairobi blue na isiwe Mombasa, Meru, Nakuru au Kisumu blue au ndio tunaendeleza kale kaujinga ketu pendwa?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]