Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimetafakari huu ujumbe nami nikaibua mambo yafuatayo...
Watumishi wengi wako chini ya 1M apo ni % kubwa...
Hao wenye 1M nakuendela ni seniors au maofisa wakubwa...lakini pia ukishakua na mshahara zaidi ya 1M kodi nayo inapanda maradufu...unajua mtu anaelipwa let say 3M kodi yake ni 600000+ so hata ukimuongezea iyo 23.3% bado nyingi wataichukua atabaki na laki 2 au 3 tu kwenye take home plus ile existing alikua nayo earlier
 
Kabisa mkuu my favourite perfume is Channel. Naipenda sana hii kitu imetulia sana na haichoshi hata ikikaa muda mrefu. Kuna ambayo ikichanganyika na jasho inaboa sana harufu haieleweki.

Kweli unapenda vitu vikali Creed si haba mzee.
 
Wacha mwenzako Shebby01 atafute pesa. Nairobi kuna pesa kwa waliosoma. Kampuni kubwa kubwa za kimataifa zipo Nairobi. Akishatengeneza pesa atakuja nyumbani kula bata.
Lakini amesema amepamiss home. Ila kama ni pesa acha azitafute maana watz wana akili sana bila shaka atawaachieni uzoefu wake na mtafaidika sana [emoji846][emoji846]
 
Good evening to all the witches in here. Did you know that Tanzanians view Nairobi as half London? Yes, this statement is true according to their president and the citizen themselves.

 
You are indeed stupid reason why you were unable to fathom what had said.

No one blamed anyone - it was a simple reminder for your assessment of Tanzanian economic growth.
Tanzania have been having those minerals but it still remains among the poorest and least developed nations in the world.
 
Soma taarifa uelewe. Hakuna tariff au kizuizi chochote kilichowekwa hapo. Waziri wenu wa fedha amesema kwamba Kenya imechelewa kubadilisha mfumo wa forodha (customs) na bado Kenya inatumia mfumo wa kizamani. Sasa badala nyie muulize KRA kwa nini wamechelewa kubadilisha mfumo wa forodha kulingana na makubaliano ya nchi za EAC, akina Geza Ulole wanamshauri mama vibaya kwamba afanye retaliation. Sasa mbona tatizo hili ni ndogo sana na KRA inastahili kupewa pressure ibadilishe mfumo ianze kutumia mfumo mpya. Na wala Kenya haijaweka kikwazo chochote. Hakuna tariff mpya iliyowekwa na Kenya.
 
Mkuu kwani ameshatangaza?
Ila mimi japo ni mtz kura yangu nampatia Baba hustler is not my choice anaweza kuharibu pakubwa. Baba ana busara kama Kenyatta na anaweza kuendeleza aliyoacha mezani tofauti na hustler ambaye anaweza kupiga yote chini ya mtangulizi wake ili atengeneze legacy yake.

Ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu kwani ameshatangaza?
ni kithure kindiki manze.. si u knw kikuyus are confused rghtnow, since their's not one of their own.. its actualy a swing region, hence its upto the task for the two presidential aspirants to play their cards right to woe this vote rich region. but now ruto for lack of think-tank or strategies, if i must so to say, made this unwell calculated suprise decision.! now he has tacked himself away from the most influential pple🤔🤔🙄
 
You may be right. By the way kwa nini wamechelewa kuannounce? Inaonekana hawajakubaliana ama kuna shida mahali coz they were supposed to announce at 10.00 a.m. But you are right Wakikuyu wana votes nyingi sana.
 
1M sio lazima maseniors.. Mshahara wa chin kbsa kwa yeyote ambae elimu yake ni Engineer (engineer II) serikalin ni zaid ya 1M.. i stand to be corrected

pia, ukweli ni sio wote wameongezewa kwa 23%, bali ni kima cha chini tu
 
You may be right. By the way kwa nini wamechelewa kuannounce? Inaonekana hawajakubaliana ama kuna shida mahali coz they were supposed to announce at 10.00 a.m. But you are right Wakikuyu wana votes nyingi sana.
but for raila.. he even has a heavier uphill task, coz all his shortlisted candidates are all 100% fit for the position.! but i think he will eventualy settle on a kikuyu and not kalonzo, if he's still aspires to get full support from 'the system' or 'the deep state'.. yatafakari hayo🤔
 
Good evening to all the witches in here. Did you know that Tanzanians view Nairobi as half London? Yes, this statement is true according to their president and the citizen themselves.

View attachment 2224581
Akili yako huwa ipo matakoni mno unavyowekaga hii attachment, sasa hapa wapi huyo Rais anasema kunyaland ni half London? Your gibberish media with dunderhead Intel nudify itself so publicly here!
 
Akili yako huwa ipo matakoni mno unavyowekaga hii attachment, sasa hapa wapi huyo Rais anasema kunyaland ni half London? Your gibberish media with dunderhead Intel nudify itself so publicly here!
Nairobi is a London to Tanzanians and that`s why wahuni like shebby01 hawataki kurudi Tanzania.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…