ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,373
Majority ya wakenya wanaota kutoroka nchi Yao, "You need to build strong economy of your country from within", ili kuepuka hii aibu ya wakenya kukimbia nchi Yao kwa wingi na kwenda kudhalilishwa huko UAE
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pia Makame mbalawa yupo hapo, kifuatacho jamani msinitenge na
Ukimwona kadogosa kwenye picha ujue ni swala la sgr isaka -Kigali iyo
kama apartheid Kenya inafanya Somalia!Apartheid Israel inafanyia unyama Wapalestina kila siku.
signs of a failed state!Huyu ni inspector general wa polisi anapigwa hivyo huko Sri Lanka,
Watu wa Sri Lanka wanarusha magari za wanasiasa mtoni.
Mbona kuna Mh. Rais Samia, Mh. Liberatha Mulamula na Mh. Prof. Mbarawa hujawasema?
Ukimwona kadogosa kwenye picha ujue ni swala la sgr isaka -Kigali iyo
Haya sasa 🤔.. kutoka AfDBAFDB kawaambia kuwa "Tanzania, Burundi, Rwanda na DRC muungane mjenge SGR ya kutoka Isaka hadi Keza, then hapo kila mtu ajenge ya kwenda kwake"..so Kagame katuma ujumbe wako tayar.. nawaza tu 💭
Kweli East Africa nchi zote ni wazembe aisee, yn distance ya railway line ya Tz ni kubwa kuliko distance za railway line za nchi zote za EA combined na hazifikii, tuna majirani wazembe sn aisee.Kutoka afdb View attachment 2223164
Northern corridor imezikwa rasmi, Wakenya poleni sana mlikopa kujenga reli lkn kama kawaida elimu yenu imeonekana jinsi gani ni dhaifu mbele ya elimu ya Tz, angalia wasomi tulivyopiga hesabu zetu na mambo yamejipa, poleni sana wakunya.Haya sasa [emoji848].. kutoka AfDB
View attachment 2223170
View attachment 2223160View attachment 2223161
Video hawawezi kuangalia hawana bundle wawekee picha.
Kuna mijumba kama hii kenya huko
That means Tanzania (3083 + 976) has over 4000 km of raillines while Kunyaland has less than 1900 km and we r here arguing!Kutoka afdb View attachment 2223164
Hatarii bado tabora kigoma sasa tufunge mjadala
Picha haitowapa uhondo woteVideo hawawezi kuangalia hawana bundle wawekee picha.