The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Mnaishia kwa hofu Sana,swala la nyie kupitwa kiuchumi na Tanzania haliepukiki maana tuna resources zote na tuko kwenye right truck Kwa hiyo mcheze vizuri.Mambo haya yanastahili kusuluhishwa kupitia mazungumzo. Ushenzi ni Serikali ya Magufuli kulipiza kisasi na kusababisha Wakulima wenu kupoteza pesa. Mazungumzo yamesababisha tariffs na vikwazo zaidi ya 15 kuondolewa. Na vikwazo hivi vilikuwa vya pande zote mbili.
Mama ni bibi wa pili au ni wangapi katika ndoa yake?
Kaulize nyanya yako.Mama ni bibi wa pili au ni wangapi katika ndoa yake?
It's LNG project n NOT LPG project!Kaulize nyanya yako.
Compensations for LPG project has been dished out,paving the way for actual construction to start 👇
View attachment 2222912
Nakupa home work nenda youtube angalia chimbuko la organized crime ya kina Medellín (Pablo Escobar) and Cali (cali brothers) Cartels. Depending on their ambitions, hawa wakina Panya Road wasichukuliwe kimzaa wanaweza kubadilika wakawa magaidi ama drugs cartels! System ndogo kama ya surveillance inaweza zuia hili!Ni kweli mkuu, ila sio kwa Sasa, lazima tuwe na vipaumbele kulingana na "limited resources" tulizonazo, hatuwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja.
Hivi Sasa nchi yetu hatuna sababu ya kutumia pesa nyingi kuwekeza kwenye Jeshi eti kwasababu Uganda na Kenya wanatumia zaidi ya $1.2B katika Jeshi, mipaka Yao haipo salama Sana ukilinganisha na Tanzania.
Kwasasa, tunaweza kudhibiti usalama wa ndani kwa kutumia polisi, hivi Sasa kwa amani, Tanzania ni nchi ya 7 Afrika na 54 duniani kwa amani na usalama, Kenya duniani ni namba 125 na Afrika ipo chini Sana.
Hivi Sasa Kenya Amani ni tatizo kubwa, wanahitaji kuweka ni kipaumbele cha kwanza katika bajeti zao, huku kwetu usalama sio tatizo Sana kwa Sasa, tunayo matatizo ambayo yanahitaji "immediate action", huko ndio tunapaswa kuelekeza nguvu zetu, CCTV ni sawa, lakini sio huo mfumo mzima, Bora tuwekee katika kudhibiti ajali kwasababu ni tatizo kubwa kwa Sasa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app