Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitajie nchi yoyote maskini ambayo ina export zaidi kwa nchi tajiri kuliko ku import toka kwa hiyo nchi tajiri.
I asked you a very simple question na sijui ni kwa nini unashindwa kujibu. Ulisema bidhaa zenu zimejaza shelves zetu, hebu nitajie tu tano kati ya hizo bidhaa. It's that simple bongolala
 
Hivi usalama wa hii reli utakuwaje maana geographical location ya Congo ni misitu mikubwa yenye wapiganaji wengi wanaoisumbua serikali ya DRC, hawawezi kufanya sabotage na kuharibu huu mradi?
Ndio maana kuna option ya kigoma port na kalema ambayo is more secure and cheap
 
Ulivyo na wivu plus roho mbaya umeshindwa hata ku like mbwa wewe wkt vitu vyote nilivyoweka humo nyie hamna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka nilike rail track? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
You are going nuts
 
Vitu legit ni kama hii. Wachana na hizo zenu za kishamba, zimetengenezewa watoto. 🀣 🀣 🀣
Hii huwezi pata bongo mzima.

anza wewe kuja huku uove raha ya jiji hili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

hii wapi utapata kenya ???
 
ukipata roller coaster kenya nitag na mm nikuoneshe ferries wheel tena ziko zaidi ya 3πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi hatuna rollercoaster kwa maana tuliona hakuna haja ya kujenga utopolo kama mliojenga. Nyie hamna Ferris
Wheel hata moja isipokuwa hii bembea ya watoto

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…