chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
And the next hour was unmounted like it didn't happen 😂😂Kenyans mainly follows your musicians. But there's no way you find Kenya naming their streets after those goats. Huko Tanzania you once named a Road after Wanyama🤣🤣🤣
Hii tender inaishia 2024Ndio wameenda kukagua mzigo nn maana umechelewa sanaa ,walisema mwez wa 4 mzigo unafika daah ila sema hawa trc waswahili sana
Tanzania hakuna Ferris wheel. wacha kuijiaibisha. 🤣 🤣 🤣 🤣hvi kati ya tanzania na kenya ipi nchi ya kwanza kua na ferris wheel? hebu niambie hapa na ukidanganya tu nakuwashia moto 🤣🤣🤣
mbona swali unalikwepa sasa 🤣🤣🤣 mumepata ferries wheel moja mushaanza kuchanganyukiwa huku ziko zaidi ya 5 na sio za leo wala jana 😂😂😂Tanzania hakuna Ferris wheel. wacha kuijiaibisha. 🤣 🤣 🤣 🤣
Tuonyeshe hizo ferris wheel tucheke. 🤣 🤣 🤣 🤣mbona swali unalikwepa sasa 🤣🤣🤣 mumepata ferries wheel moja mushaanza kuchanganyukiwa huku ziko zaidi ya 5 na sio za leo wala jana 😂😂😂
Huu uzushi ni WA mitandaoni,hizo bei ni ruzuku za kipindi kile bei zimeanza kupanda, serikali ilitoa sh.100 ndio ikawa na mchanganuo huo..
fikeni hapa kwanza 😂😂😂Tuonyeshe hizo ferris wheel tucheke. 🤣 🤣 🤣 🤣
kwani nimekuuliza ww au?? au ww ndio mke wa makamba?? vipi mzee mbona nilishakwambia huo mchezo nimekatazwa kwangu ni mwikoHuu uzushi ni WA mitandaoni,hizo bei ni ruzuku za kipindi kile bei zimeanza kupanda, serikali ilitoa sh.100 ndio ikawa na mchanganuo huo..
Bei ya mafuta inaweza pungua kwa sh.250-300 kwa litre kwa ruzuku ya mwezi mmja kwa hiyo acha kushadidia uzushi wenye mlengo wa chuki kama ulivyosema mwenyewe unamchukia Makamba na Samia.
mukifika hapa unitag plz 🤣🤣🤣Tuonyeshe hizo ferris wheel tucheke. 🤣 🤣 🤣 🤣
Mm hata siielewi haya mapicha picha, mm nilikua namjua hyundai rotem tuu huyu sung shin sijui katokea wapi ila kwa kusema ukweli mkuregenzi wa TRC ni mswahili sanaaHii tender inaishia 2024
Unapost hadi video za Kenya. Utawala ilihamia Dar na sijajua.🤣 🤣 🤣 enyewe mko chini. Tanzania has no ferris wheel.fikeni hapa kwanza 😂😂😂
Wakati utafika Ukraine atazuia Bomba kupita kwake na Russia itabidi aanze kucheka na West wambembeleze Ukraine asikate Gas.UK ndio hana presha kabisa na mambo ya GAS na ndiye mshirika wakweli wa Ukraine.Ujeruma,Austria,Hungary ni waganga njaa na ndio wanaolialia na Gas
Watu ulaya washatii huko
Wanacheza na akili za watu tuu tuu