Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama bullet train ya Senegal kisha uilinganishe na mtungi wa konyagi wa Tanzania.

1. Senegal Bullet train








2. Mtungi wa Konyagi wa Jamhuri ya Tanzania.

 
Hii hapa bullet train ya Morocco


Linganisha na mtungi wa Konyagi wa Tanzania
 

Mkuu, yaani ulivyoielezea nchi yangu Tanzania hivyo, nikasisimuka na kutokwa na machozi. Ukitembea kila kona unakutana wanakupenda kana kwamba ni ndugu zako.

Kwa vijana, wanapata wachumba popote bila kupata kipingamizi kutoka kwa wazazi wa pande zote. Yaani ni full shangwe.
 
Nilidhani ni sisi tu tunawaambia, kumbe hata wao inawachoma[emoji23][emoji23]


Alafu huu mtaro kajenga fundi Kamau au? Tofali zilivyopinda utadhani mfereji wa Kibera[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…