joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]Wee! ndo ako asijue Lugha!! tangu mwaka ghani kichwa ya muntu ikawa maji?? si weye gonjwa iko!! huoni?? weee ndio nakaa kwa Bongo land lkn aijue kitu kswahili nmana inaongea wewe nini bwana jinga kabhisaa wewe hakuna school ni buree tu!
Hahahaha, weka ushahidi wacha kulimbikiza ujinga, Kenya is a Failed state, how a Failed state can do better?On average, Kenya has faster and more reliable internet that can be accessed in most places within the country.
Juzijuzi wamepandisha kimyakimyaMapunga hao wamepandisha bei za vifurushi sasa wanatafuta kwa kutokea mwaka jana buku moja ulikua unapata gb 2 mpaka 4 kwa siku saivi buku moja sijui mb 300 mpaka 600 hamna lolote
😆I am fluent Kiswahili, my dialect is different from yours but I'm very fluent. Meanwhile, you're so poor in English you're always misinterpreting what people who are good in English type.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mkikuyu ameokota cm ya internet[emoji16][emoji16]Tumeingiliwa, huyu ametokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbongo huyo usipoteze muda, yuko majukwaa ya celebrity kule na MMU asiwasumbue.Tumia lugha unayo iweza tafadhali...wacha kubaka lugha kama hivii
Mbongo huyo achaneni naye.Duuuuuh huyu wa wapi wakuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni mtz yupo kwenye majukwaa mengine humu JF, alafu kidizain kama tom boy flani hv, au huenda ni dume linalojifanya demu ila kimtindo anajitambua sema hapo anachekesha jukwaa tu.Unapotumia neno "ako" unamaanisha nini?, hicho sio Kiswahili tunashindwa kukuelewa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kingereza cha wapi hiki wakuu.I am fluent Kiswahili, my dialect is different from yours but I'm very fluent. Meanwhile, you're so poor in English you're always misinterpreting what people who are good in English type.
Au mwambie amsikilize huyu jamaa [emoji116][emoji116][emoji116]Mkuu, Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba zaidi ya 90% ya watanzania hawamuelewi rais wetu, hebu pitia "Comments" za watanzania katika hii Twitter
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unamwelewa?Mkuu, Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba zaidi ya 90% ya watanzania hawamuelewi rais wetu, hebu pitia "Comments" za watanzania katika hii Twitter
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yani ni ujinga mtupu badala yakutafuta suluisho wanaanza kutufananisha na nchi zingine ndio yale yale tu eti bei ya mafuta ya marekani ni ghali kushinda bongo sasa kwa mfano anatufananisha na Mauritius wenye kipato cha dola elfu 8 sijui kumi na sisi wenye kipato cha dola elfu moja yani basi tuu serikali inaongozwa na waimba taarabuJuzijuzi wamepandisha kimyakimya
Yani ni ujinga mtupu badala yakutafuta suluisho wanaanza kutufananisha na nchi zingine ndio yale yale tu eti bei ya mafuta ya marekani ni ghali kushinda bongo sasa kwa mfano anatufananisha na Mauritius wenye kipato cha dola elfu 8 sijui kumi na sisi wenye kipato cha dola elfu moja yani basi tuu serikali inaongozwa na waimba taarabu
Huyu ni mbongo sema kaamua kufanya entertainment kidogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu, tumia Kiingereza tutakuelewa vizuri zaidi, usilazimishe Kiswahili tunashindwa kabisa kukuelewa, jipe muda zaidi wa kujifunza Kiswahili.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Achana na hao haters wengi wao ni walimeza ujinga wa awamu ya 5 ,sisi tunaangalia matokeo yenye tija kwa Taifa..Mkuu, Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba zaidi ya 90% ya watanzania hawamuelewi rais wetu, hebu pitia "Comments" za watanzania katika hii Twitter
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Moja ya watu wajinga Sana ni pamoja na wewe,Tanzania sio kisiwa kwamba inaishi ulimwengu wake..Yani ni ujinga mtupu badala yakutafuta suluisho wanaanza kutufananisha na nchi zingine ndio yale yale tu eti bei ya mafuta ya marekani ni ghali kushinda bongo sasa kwa mfano anatufananisha na Mauritius wenye kipato cha dola elfu 8 sijui kumi na sisi wenye kipato cha dola elfu moja yani basi tuu serikali inaongozwa na waimba taarabu
While you're fixing, we are also growing bigger and better. Unless we were stagnant..........We are fixing the problem by identifying where such obstacles may be.remember unlike Kenya, Tanzania is a bigger country hence it may be expensive to provide such infrastructure but soon we will be Eastfafrica home of the best internet!
Vodacom Tanzania expands mobile connectivity to remote areas
Vodacom Tanzania has signed a major fibre investment deal to support the Tanzanian government. Learn more.www.vodafone.com