Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.Tatizo si nani kapewa bali ni usimamizi kupitia sheria za mikataba! Wewe unadhani hata Yapi Merkezi hawawezi kufanya huu upuuzi?
Wewe na Tony ni maboga ya msimu,hivi mradi wa umeme wa Nyerere unajuaje tembo mweupe kwa kuchelewa kukamilika?Sasa SGR ya danganyika watatumia genereta au? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata niwe mimi siwezi Baki kwa Mchina,huwa ni wapuuzi fulani wanalipa kidogo Sana kuliko Mzungu..Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.
Sasa solution ni Mkandarasi kuandika wafanyakazi wengine 35 kuziba pengo lililoachwa na hawa experts 35. Lakini huwezi kuzuia wafanyikazi wenye skills za juu kuhama kutoka kazi moja hadi nyingine. Hio ni kawaida sana katika kila profession, watu wenye skills za hali ya juu wanatafutwa sana na waajiri wapo tayari kuwalipa pesa nyingi.
Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.Haya Mambo ndiyo yanayoipoteza Kenya. The only billionaire in East and Central Africa doesn't own a helicopter, the second and third richest men (Rostam Aziz and Bakhresa)in the region, don't have their own helicopters, but politicians in Kenya do own helicopters, where do they get money?. Hiyo ndio sababu "ratio ya debt to GDP Kenya ni 80%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa nadhani unaelewa kwamba wale wakenya waliopo huko Ulaya na bara la Amerika wengi ni wale wenye skills za hali ya juu ambao hata Kenya wanahitajika Sana, hao waliobaki japo Kenya wanalalamika kukosa ajira, wengi ni wale wenye skills za chini Sana.Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.
Sasa solution ni Mkandarasi kuandika wafanyakazi wengine 35 kuziba pengo lililoachwa na hawa experts 35. Lakini huwezi kuzuia wafanyikazi wenye skills za juu kuhama kutoka kazi moja hadi nyingine. Hio ni kawaida sana katika kila profession, watu wenye skills za hali ya juu wanatafutwa sana na waajiri wapo tayari kuwalipa pesa nyingi.
Yes, he is very clever not like you Kunyans, why should we spend too much money to buy something which you need it for only two months?, We are much smarter than you guys.Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.
mimi na-blame consultant (kama yupo maana mjuaji JPM alikuwa haamini Consultants wanahitajika) ambaye anapaswa kumlazimisha mkandarasi kufanya replacement!Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.
Sasa solution ni Mkandarasi kuandika wafanyakazi wengine 35 kuziba pengo lililoachwa na hawa experts 35. Lakini huwezi kuzuia wafanyikazi wenye skills za juu kuhama kutoka kazi moja hadi nyingine. Hio ni kawaida sana katika kila profession, watu wenye skills za hali ya juu wanatafutwa sana na waajiri wapo tayari kuwalipa pesa nyingi.
our president? Hebu onyesha amepanda!Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.
Ni Rais wa JMTGuys hivi Samia anafanya nini
Me mwenyewe nawashangaa wanaogawa greencard yetu kama njugu kwa Wakunya 😄
Baada ya kukosa uteuzi licha ya kujipendekeza 😂😂Kumekucha
Your blaming kila kitu kwa JPM..its been a year ..kwani awamu ya 6 hawajawai kukagua mradi toka JPM avute, Kwann wasiweke consultant..?Hivi una habari ujenzi wa meli hauna consultancy sasa jiulize kwa hali kama hiyo kwann mkandarasi asijaribu ku-maximize profit gain?
Umetoa pesa ya kujengea au unadhani wanajengea makamasi yako?Your blaming kila kitu kwa JPM..its been a year ..kwani awamu ya 6 hawajawai kukagua mradi toka JPM avute, Kwann wasiweke consultant..?
Kumekuwa na usimamizi usioridhisha kwneye miradi..mbali mbali..
BRT phase 3and 4 haijaanza
Pangani Bridge haijaanza
Msimbazi River Basin Project haijaanza
What about those projects ??
JPM alikuwa na mapungufu yake..lakini wao kwann hawaja correct the issues?
Yuko kazini Ikulu,wewe unaona anafanya nini?👇Guys hivi Samia anafanya nini
Unahisi mm fala mpka kama wewe unayewaza makamasi mchanaUmetoa pesa ya kujengea au unadhani wanajengea makamasi yako?