Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kwel kabisahata mimi naipongeza mahakama ya juu ya kenya kwa kufanya shughuli zake za kimahakama kwa uhuru na uwazi bila kuingiliwa na taasisi yoyote au kikundi fulani cha watu.
kwa hili tuna la kujifunza toka kwa majirani.
Sent using Jamii Forums mobile app