Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima tuheshimu watu waliofanikiwa maisha.. usiwe mjinga kiasi hicho.. sisemi tuwaogope lahasha, lakini tuwaheshimu. Kwama ambavyo hapo kwenu serikali yenu inavyoheshimu watu wenye pesa
Morning dogo, mie naheshimu talent za watu na achievements pia, whether legit or illegal, ata yule mwendawazimu wa sokoni, kwa yale anafanya ambayo siwezi I respect. Understand this, respect does not necessarily mean agreement. I rest in The Truth. Na mie sio mjinga kama unavyo fikiria, know that too. When u lose my respect due to some reasons, especially fundamental, whatever u do doesn't matter. Sisemi zaidi.
 
...and more am not seeing here., like ya Garden City mall..,
 
Hizi ni baadhi ya sehemu chache za Dar mnaamini hakuna miti kwasababu ingekuwa ni mji wa Nairobi ungeonekana wote hapo katika picha moja.
Sawa bongolala. I hope you feeling better now after consoling yourself
 
...and more am not seeing here., like ya Garden City mall..,
That guy has done so many episodes in Kenya. I just couldn't get my hand on all of them. Then there are other episodes under Miss Trudy's (his fiancé) account and other YouTubers like Afrikan Traveller. These ones I couldn't include here. Alafu utasikia jamaa akisema eti most of his views and subscriptions come from Tanzania yet he has only four episodes there
 
Tanzanians here hawapendi kuona anything from Kenya above Tz, hiyo tu ndio issue, ata uweke screaming evidence, watatafuta sababu ya kupinga, either wapotoshe na propaganda ama wajitie hamnazo na kulazimisha fikra zao, they have a fighting spirit though, yaani mtu amenyoroshwa na evidence lakini bado anakazana tu 😂 😂
 
Beating around the bush
 
Soja achana na mambo ya masomo kabisa. That's not your area.
 
I don't think it's a fighting sprit. It's just blind patriotism. Ingekuwa ni fighting spirit wangejulikana kwamba ni watu wa kujituma, a quality trait that they lack.
 
I don't think it's a fighting sprit. It's just blind patriotism. Ingekuwa ni fighting spirit wangejulikana kwamba ni watu wa kujituma, a quality trait that they lack.
roger that, meant fighting spirit in the debate context, yaani holding to their guns ata kama wako wrong 😂 😂 😂
 
Kenya churns out half baked graduates every year ndio maana magorofa yanaanguka on daily basis, ndege nazo hivyo hivyo pia , lack of organisation in many aspects of city services including transportation, garbage disposal, city planning etc also alot of shoddy works get accepted by Kenyans engineers such as the famous expressway drainage systems.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…