Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani nyumba nzuri bei rahisi hivi lakini nikiangalia google earth wengi wenu zaidi ya 80% ya jiji mnaishi nyumba za hovyo na kishamba kwa wingi., ina maana nyie ni mifukara kuruka .,
Bora ufunge bakuli, nyie ni fukara msio kizi hata kuishi kwenye sut ya 3000tsh...apo bado chakula no wonder mnapika mawe jikoni
 
Bora ufunge bakuli, nyie ni fukara msio kizi hata kuishi kwenye sut ya 3000tsh...apo bado chakula no wonder mnapika mawe jikoni
wewe unaumwa na ukweli nakuelewa sana, itabidi umezoea 😂 mko hovyo ata ukilia damu ama unyambe vumbi, ukweli unabakia pale pale, mko hovyo sana, ufukara unaotokana na ujinga karibia na laana.., yaani haumfai kuongea mbele ya mwafrika yeyote..,
 
Unazungushia apo unadhani hiyo nimaneti kma huo uchafu wa pich ya pili sio?
Unataka nizungushie wapi tena when this is all there is? Ama kuna lingine zaidi ya hii?
GridArt_20220503_201823931.jpg
 
Shida Kenya ni consumption economy na mbaya zaidi Serikali yao ina advocates hiyo system sana.
Shida ya manyang'au ni ujuaji mwingi maisha yao ni magumu but they still praise these aggregate Indicators!! Uchumi ni hisabati.GDP kwangu naichukulia kama ni mtaji au assurance kwa Serikali kwa ku-refer size ya uchumi wake!!!!kuna tafiti nyingi zinamgusa common mwananchi ikiwemo CPI Consumer Price Index, Employment and Earnings pamoja na Household surveys hizi zote zinafanyika kwny kwenye Taasisi zetu husika.
 
wewe unaumwa na ukweli nakuelewa sana, itabidi umezoea mko hovyo ata ukilia damu ama unyambe vumbi, ukweli unabakia pale pale, mko hovyo sana, ufukara unaotokana na ujinga karibia na laana.., yaani haumfai kuongea mbele ya mwafrika yeyote..,
Tumia tu kingereza utaeleweka pia
 
wewe unaumwa na ukweli nakuelewa sana, itabidi umezoea mko hovyo ata ukilia damu ama unyambe vumbi, ukweli unabakia pale pale, mko hovyo sana, ufukara unaotokana na ujinga karibia na laana.., yaani haumfai kuongea mbele ya mwafrika yeyote..,
Mbona km asiraa imekufikia, sorry kama nimegusa panapo uma, wewe jitaidi ulipe kodi ya 3000 mana nikama hujalipa pesa ya watu
 
Mbona km asiraa imekufikia, sorry kama nimegusa panapo uma, wewe jitaidi ulipe kodi ya 3000 mana nikama hujalipa pesa ya watu
Ukweli inakuuma, utazoea tu, usilie sana, mtapona., mko hovyo, haukwepi, angalia Dar tu 🤣 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom