Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza kuona elevated section ya express way ya mchina ilipoanzia na kuishia [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2210079
Thika road on ground [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2210062
PHOTOSHOP
Huwa hatubabaishi kwenye miradi, ona wapumbavu kazi zao, no wonder wanapiga picha za upande upande [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Screenshot_20220503-154548.jpg

TZ mnapenda fictions, fantasies and lies..
Elevated section sio 8km, thika road under construction, Tz is not a $150b economy and the expressway image is photoshoped 😅😅😂😂
 
Yani Uganda gdp bado sana lol...anyway waingie LMIC's hili block letu la EAC lin'gare zaidi
Wakianza kuzalisha mafuta hutaamini macho yako. Gdp yao itakuwa kwa kasi sana bora pesa ya mafuta isiibiwe na wanasiasa.
 
Yani vimaendeleo vyote unavyoona wanapiga kelele humu vipo kwenye haka kaeneo kadogo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2210098
Hako kaeneo kadogo kanagenerate annual revenue ya $50B ilhali Tz yote kwa jumla...$70B 😂😂😂😂
 
Hapo ni Jo'burg. Yani kulingana naye, juu ya hiyo Mbezi station eti sasa Dar imeishinda Jo'burg.🤣🤣🤣

The best 007 yaani unacheka watu wa Johannesburg ukidhani unacheka watu wa Nairobi? Huyu jamaa leo kachanganyikiwa sana. Halafu kumbe johannesburg pia ina maeneo yaliyoparara hivi? Hii ni evidence kwamba hakuna mji barani Afrika ambayo haina maeneo yaliyochakaa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…