Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu mwenye alisema VS Kuna mtu alisema.

Neno "mwenye" ni kimilikishi, Hutumia kumilikisha mtu kitu, mfano: mwenye Nyumba, mwenye gari.....

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
lakini ubaki ukijua pia kuna wht we reffer to as 'american english' na 'british queens english'.. who cares💃 bora uhai

nb: hivi nikama kumforce obama aongee, Queens english..... yatafakari hayo🤔
 
mbona hatuwaoni nyinyi watu... na sanasana huyu jamaa anaitwa Geza Ulole........ sijui ni mtu anakaa namna gani..!!?[emoji848][emoji848][emoji848] ameficha white kweli.![emoji38] wengine ni kina chongchung , Filaria , coodip1, Simon, Tz_one, Simons, babayao255 etc etc

nimuhumu pia tukijuana ata kwa nyuso, ndo ata unapo mjibu mtu, tayari atleast uko na picha yake kichwani....


but atleast nimepata kufahamu wachache humu,
kamavile:-

Simba 254 View attachment 2207666

@ichoboy01View attachment 2207648

@blietzkriegView attachment 2207657

The best 007 (japo kwa kiasi)View attachment 2207651

Teargas (japo pia kwa kiasi)View attachment 2207649

then huyu sijui ni either Lwiva ama @samaboy255 View attachment 2207656

@gameoverView attachment 2207654,

IamLee View attachment 2207680

alafu huyu sijui ndo alikua nani tena.?View attachment 2207653View attachment 2207652
Una uhakika na hizi sura kwamba ni wao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha bangi we dogo.. tafuta kazi ya kufanya..au hata kademu uwe busy..
hapo kwa lwiva/samaboy ni CRDB CEO.. Nsekela
Ndio maana nimeishia kucheka tu bosi wa CRDB kamtokea wapi?[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Wakikufa vs wakifa
Venye vs jinsi au vile
Tafadhali msituharibie lugha yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hadi wakuu wa Mikoa yote wanawajua hawa jamaa jinsi gani wanavyofuatilia habari za Tanzania. Hivi Kenya nao wana Waziri mkuu kama hapa kwetu? Wanavyomtaja Majaliwa utafikiri wanatokea Ruangwa.
 
mbona hatuwaoni nyinyi watu... na sanasana huyu jamaa anaitwa Geza Ulole........ sijui ni mtu anakaa namna gani..!!?🤔🤔🤔 ameficha white kweli.!😆 wengine ni kina chongchung , Filaria , coodip1, Simon, Tz_one, Simons, babayao255 etc etc

nimuhumu pia tukijuana ata kwa nyuso, ndo ata unapo mjibu mtu, tayari atleast uko na picha yake kichwani....


but atleast nimepata kufahamu wachache humu,
kamavile:-

Simba 254 View attachment 2207666

@ichoboy01View attachment 2207648

@blietzkriegView attachment 2207657

The best 007 (japo kwa kiasi)View attachment 2207651

Teargas (japo pia kwa kiasi)View attachment 2207649

then huyu sijui ni either Lwiva ama @samaboy255 View attachment 2207656

@gameoverView attachment 2207654,

IamLee View attachment 2207680

alafu huyu sijui ndo alikua nani tena.?View attachment 2207653View attachment 2207652
Hutakaa unijue! Yaani hata JPM angepewa true Id za JF users kipindi kile asingenipata kwa jinsi nilivyo-encrypt details Zangu! Msije mkaninyima tender za AWS na AzCS!
Niko chumbani naangalia Bucks vs Celtics
20220501_210131.jpg


Matanga ya Kibaki yanaendeleaje?
 
lakini ubaki ukijua pia kuna wht we reffer to as 'american english' na 'british queens english'.. who cares[emoji126] bora uhai

nb: hivi nikama kumforce obama aongee, Queens english..... yatafakari hayo[emoji848]
Kiswahili sanifu ni kimoja tu, hakuna Kiswahili cha Tanzania, Kenya au DRC, kiingereza kimegawanyika na wamekubaliana, hata Englishi Dictionaries zinaonyesha hivyo, lakini hakuna Kamusi yoyote ya Kiswahili hata iliyoandikwa na wakenya utakuta neno "venye"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
hapa ni either Langata, Donholm, Greenfields ama Savanna etc..... zen it's titled 'Arusha'.. hivi nimecheka yangu yote😆

Screenshot_20220501-222610_Chrome.jpg
 
This company buys vans from Kenya then modifies them into Safari things. Alafu Kuna some idiots here claiming that they assemble the vans. Below is a prove that these vans were from Kenya, they have even tagged Toyota Kenya 😂

Screenshot_20220501-140526 (1).png
 
What this company does is just conversion. Here's the prove from their website 😂😂

Screenshot_20220501-223534.png
 
Back
Top Bottom